Babuu wa ngereza
Senior Member
- Feb 23, 2013
- 134
- 12
Mtoa mada amevurugwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale unaingia ndani kabisa ya dagadagaa unaagiza unapopenda unaeza kula hata kilo mbili bila kujijuadagaadagaa kwa kitimoto cha kila aina ni kama kwa baresa na bidhaa za unga tatizo mvua mkuu ila hap ukiingia tazama wanapochomea kwa mkono wa kulia unaweza ukala hadi ukaomba poo tatizo ukija hapo wanakupokea juu juu hivyo uwezi juawapi wanatengeza poa,ila sasa hii mvua huo uwanja haujaa jaa maji,pana muinuko kidogo lakini je utakaa wapi sasa
Pale unaingia ndani kabisa ya dagadagaa unaagiza unapopenda unaeza kula hata kilo mbili bila kujijua
kabisa yaani ishawah kutokea tena mkiwa kagrup
We acha tuu lazima nitafika pale kujikumbishia mkuu karibu
Mkuu hatuzungumzii suala la dini hapa tunazungumzia kuhusu Madhara ya kula nyama ya nguruwe ukisema Quran na Biblia Biblia imetiwa Mikono na watu wengi Tu Mashuhuri tofauti na Quran haina mikono ya Watu ndugu.Bibilia ina makosa zaidi ya Elfu 50 Hebu tembelea hapa bonyeza hapa Answering Christianity : History of the Bible contradictions and corruption Section.mkuu naona umeorodhesha magonjwa mengi kwelikweli hadi umenipeleka kwenye somo la medincine na macrobiology, kitu nachoweza kusema ni kuwa nguruwe ana nyama tamu sana, hili si jambo la siri. pia ina ubora kiafya kwa kuwa ni aina ya whitemeat kama unavyojua white meat iko safe na mambo ya cholesterol na mengineyo, na zaidi ya yote hata kwa tathmini yako binafsi maeneo yanayofuga nguruwe hayo magonjwa uliyoorodhesha hayajaonyesha athari za kufikia hatua ya kuacha ulaji ama kuweka quarantine, kiasi kwamba kuna watakaosoma hapa hasa malaymen na kuona kilichoandikwa ni hadithi na si kweli japo kuna ukweli wake. umeandika magonjwa mengi ya nguruwe lakini jua kuna magonjwa mengi ya wanyama wengine pia. kitu nachotaka kusisitiza hapa ni kuwa ulaji wa nyamakwa ujumla una madhara kuliko ulaji wa mimea/majani. mfano nyama maarufu ya kondoo inatatizo la kupelekea matatizo kwenye magoti (gauti) tena kuliko mbuzi!! kwanini basi hawakuiona ni nyama haramu? i dont know?
tukija kwenye upande wa bibilia ni vizuri tukifahamu kuwa namna ya kusomaji na kuielewa bibilia si kama inavyosomwa quran na kuitafsiri. kuna madai nisiyoweza kuthibitisha kuwa kuran inatasfsiriwa kama ilivyoandikwa, kama ni hivyo pengine neno la petro kuotesha kushushuiwa nguruwe kwenye ndoto na akaambiwa ale lakina akakataa akasema hawezi kula najisi na sauti ya mungu ikamjibu kuwa alichokiumba mungu usikitie unajisi lingetosha kabisa kuwafanya wakristo walitumie kutetea ulaji wa nyama ya nguruwe.
kuna neno kwenye baibo linasema kuhusu: ki=umuua mzinzi, kutokufanya kazi siku ya sabato, ulaji najisi.
tukianza na;
mafarisayo walimpelekea yesu mwanamke wakimwambia sheria ya musa inatutaka tumpige mawe tumwuue, lakini mpaka mwisho wa siku yesu hakumuua na waliomuhukumu waliondoka zao bila kumgusa, kama ni kulinganisha tungeanza na kujiuliza je waislamu mwanamke mzinzi anahukumiwaje?
pia kuna matendo yaliyofanyika yalioonekana yakivunja sabato lakini yesu akasema yeye ni bwana wa sabato(kama kula mashuke, kubeba kitanda).
pia kuna swala la kutoa talaka kwa mke yesu alionyesha kulipinga.je waislamu wanamtazamo sawa kuhusu talaka?,
vilevile swala la kuoa wake wengi(ndoa za mitaala, je yesu alisemaje kuhusu idadi ya wanawake wa kuoa na je waislamu wnachukuliaje idadi ya wanawake wa kuoa?
na ukiongezea na hili la ulaji wa nguruwe ukiweka neno la yesu aliposema si kimwingiacho mtu kinamtia unajisi bali kimtokacho kwani kile kimtokacho hupita na kwenda chooni...najua umeshasema kuwa unampenda yesu kwakuwa wewe ni mwislamu,na wakristo wanafuata alichofanya yesu na si kile tu wayahudi walikichukua katika mapokeo yao paradoxically yesu alisoma elimu ya kiyahudi pia. napata picha kuwa namna bibilia inavyotafsiriwa si vile kuran inatafsiriwa na ndio maana wakristo wengi wanakula nguruwe bila kujali andiko hilo linalodaiwa kukataza ulaji huu wa nyama ya nguruwe. naheshimu imani yako lakini najaribu kueleza kwanini wakristo hawajali hilo andiko na wanaendelea kula nguruwe kila kikicha.
wakristo wanamtumia yesu kama role model wao, ambapo yalioandikwa kwenye torati na sheria za musa alionesha kutofautiana nazo, na bibilia imezionyesha sheria zote na ajabu ni pale yesu aliposema hakuja kutangua torati bali kuitimiliza. na hapa ndipo tafsir inapoanzia kwani
mkuu lengo langu hapa ni kuonyesha kuwa namna ya kuitafsiri kuran ni tofauti na ile inayotumika kwenye bibilia. thats it.
yohana 10:34
34 Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu? 35 Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka); 36 je! Yeye ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu? 37 Kama sizitendi kazi za Baba yangu, msiniamini; 38 lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi; mpate kujua na kufahamu ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.
Mkuu, mara nyingi ukitaja Nguruwe kunakuwa na Vi-element vya Udini.Mkuu hatuzungumzii suala la dini hapa tunazungumzia kuhusu Madhara ya kula nyama ya nguruwe ukisema Quran na Biblia Biblia imetiwa Mikono na watu wengi Tu Mashuhuri tofauti na Quran haina mikono ya Watu ndugu.Bibilia ina makosa zaidi ya Elfu 50 Hebu tembelea hapa bonyeza hapa Answering Christianity : History of the Bible contradictions and corruption Section.
Nimepata swali. Yani kinyesi cha mtu kina tegu. Nguruwe akila kinyesi anaambukizwa tegu. Mtu akimla nguruwe aliyepata tegu toka kwa mtu, anaambukizwa tegu ambao wanasababisha kifafa. Kwa nini mtu asijiambukize kifafa hadi amsubiri nguruwe?
Mkuu hatuzungumzii suala la dini hapa tunazungumzia kuhusu Madhara ya kula nyama ya nguruwe ukisema Quran na Biblia Biblia imetiwa Mikono na watu wengi Tu Mashuhuri tofauti na Quran haina mikono ya Watu ndugu.Bibilia ina makosa zaidi ya Elfu 50 Hebu tembelea hapa bonyeza hapa Answering Christianity : History of the Bible contradictions and corruption Section.
Tunacho Zungumzia ni kuwa Nyama ya Nguruwe inatunapelekana kwenye makosa tena mkuu
btw
tukizungumzia madhara yatokanayo na ulaji wa hizi nyama!
Utakuta hata nguruwe unaemzungumzia hapa ana afadhali sana kuliko nyama zingine !
Lakini hii inategemeana tu na matunzo ya mnyama mwenyewe na jinsi ya anavyo andaliwa kabla ya kuliwa!
Mkuu tusiangalie upande mmoja tu! Ktk haya makosa ya kidini ! BTW sawa ni lazima uvutie kwako!
Lakini tukija upande wa biblia! Makosa yanayofanywa na wengi ni kuitafsiri biblia kama wanavyosoma gazeti!
Na hii sababu kubwa ni lugha iliyotumika ktk biblia! Ni tofauti na quran!
>>>>>The Qu'ran Say Bible is Not Corrupt<<<<<<
japokuwa sio jukwaa la dini ila contradiction may arise !
wewe unaleta ushahidi aliyesema mtu lete ushahidi unaotoka katika ndani ya Quran yenyewe kuwa kama ina kasoro usilete maneno ya mtu aliyetunga mwenyewe kuikosowa Quran hakuna mtu ataweza kuleta japo aya moja kisha uifananishe na aya Quran hicho kitu hakitowezekana kabisa mpaka mwisho wa Dunia Quran itabaki hivyo hivyo ilivyo ingawa Makafiri watachukia shauri yao wenyewe.Mkuu, mara nyingi ukitaja Nguruwe kunakuwa na Vi-element vya Udini.
katika dunia kuna watu wasioamini katika mungu. Hawa watu ni Lazima watatafuta logic ya jambo lolote.Watu hawa wanaweza ku-criticize ukristo. lakini watu hawa ukiwauliza wengi wanapuuza quran kwakuwa wanasema imejaa Flaws za kutosha haina haja ya kuijadili.wanaitaja kama Anti -modernic n.k.
Sasa ukijisifu kuwa Quran haijabadilishwa wakati Ex-muslim waliobobea kwenye hiyo imani wanaona makosa mengi sana inashangaza. ninao ushahidi ningeweza kuuchapa hapa lakini bahati mbaya sio sehemu ya dini. Ukweli utabaki kuwa Ukweli, imani yako haitakiwi kujadiliwa, hata wewe pengine kwa kuhofu waumini wenzako zaidi, Huwezi kuuliza kitu kwakuwa utaitwa ''Kafir''. Kunyimwa kwako uhuru wa kuhoji imani yako ndiko kunakufanya uitetee, lakini mtu mwenye fikra huru(free thinker) hawezi kuijadili hiyo Quran kwani haivutii hata kuisoma na zaidi inaonyesha ina mambo mengi yenye utata na majibu yasiyo Constant. na waumini wameshapigwa marufuku kuihoji. na zaidi ya yote mtume wenu: anasema Quran Inababaisha sana!!!.
Na jambo kubwa kuliko yote ambalo linanipa utata kuhusu imani yako , ni kuwa haijalishi umetenda mema kiasi gani bado hauna uhakika wa kuifikia pepo...Isipokuwa tu kwa kuua kafir!!!! Na jambo la Pili ni utume wa Mohammad kaupata wapi tene katika umri mkubwa vile?
tatu kurasa za Kuran kuliwa na mbuzi na ukamilifu wa kurani!! hapa inaonyesha udhaifu mkubwa sana kwa imaniinayosemwa imeshushwa.Ni sawa na kusema Ujumbe uliotumwa naAllah haukuandikwa wote kwakuwa uliishiakwenye tumbo la Mbuzi.
Ni kawaida nikikuhoji haya utaacha kuuyajibu na kukimbilia kukosoa bibilia. lakini ni kwakuwa unajihepusha na swala la kuhoji imani yako.
Jaribu kuhoji kama utabakia huko. Na kama utabakia huko ..probable jibu litakuwa ni kutokana na hofu ya kuogopa kuuwawa na wenzako.
kwa mujibu wa baibo.. Mungu alisema kila alichokiumba ni chema..yaani hata nguruwe.
Hivi ikiwa Allah ameumba kiumbe haramu Huyo Allah atakuwa nani??
Mkuu lengo langu sio kubishana kuhusu Dini, bali Ukitaka kujua kuhusu Quran, Tafuta kitabu kinaitwa ''The Quran Dilemma'' kimeandikwa na Msaudi Arabia(X-MUSLIM) ambaye ameeleza ni jinsi gani Quran ilivyo na jinsi wakristo na waislamu wasivyoijua uislamu. Hili hapa chini ni Kava lake. knowledge is Power
![]()
Tukirudi kwenye hoja ya Nguruwe..kwa ufupi Nyama inayoliwa kwa Idadi kubwa ya watu ulimwenguni ni Nguruwe na sio Ng'ombe!!!
Sasa kama nyama inaliwa na bado watu wanaendelea kufuga nguruwe.. Why worry?nadhani mleta uzi alitakiwa aje na hoja za kuwafundisha wafugaji kitimoto wafuge kisasa ili wasipelekee maambukizi ya magonjwa.
wewe unaleta ushahidi aliyesema mtu lete ushahidi unaotoka katika ndani ya Quran yenyewe kuwa kama ina kasoro usilete maneno ya mtu aliyetunga mwenyewe kuikosowa Quran hakuna mtu ataweza kuleta japo aya moja kisha uifananishe na aya Quran hicho kitu hakitowezekana kabisa mpaka mwisho wa Dunia Quran itabaki hivyo hivyo ilivyo ingawa Makafiri watachukia shauri yao wenyewe.
Tunacho Zungumzia ni kuwa Nyama ya Nguruwe ina
madhara kuliko nyama yoyote ile duniani. Huwezi kufananisha nyama ya Nguruwe na nyama ya Ng'ombe au nyama ya
kondoo au nyama ya mbuzi?
Nyama ya Nguruwe imeharamishwa katika dini zote kubwa Dini ya kiislam Dini ya Kikristo
na Dini ya kiyahudi Mungu ameharamisha Tusile nyama ya Nguruwe
sasa wewe utaweza kushindana na Mungu aliye kuumba? Mungu wako ndio
amesema usile nyama ya Nguruwe sasa wewe huyo Mungu wako kwanini unambishia?
Unakula nyama aliyokataza? Mimi
nitawezaje kushindana wewe unayeweza kushindana na huyo aliyekuumba wewe Mungu, Amekukataza Mungu wako usile nyama ya
nguruwe wewe unakula sasa mimi nitaweza kweli kukushinda wewe .Wakati wewe unashindana Mungu?
Wewe Mlokole Mbishi
unabisha pia Maneno Matakatifu ya Mungu ndani ya Bibilia hebu soma hapa chini Biblia inavyosema hiyo nyama ya nguruwe. Ninanukuu:
Hakika ni kuwa Agano la Kale katika Biblia imekataza ulaji wa nguruwe na akafanywa
kuwa ni haramu: Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 8).
Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shariah 14: 7 8 na pia Isaya 66: 17.
Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shariah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.
Ni mojawapo ya aina nyingi ya wanyama wafugwao, mnyama huyu alianza kufugwa na mwanadamu zaidi ya miaka 2000 kabla ya yesu kuja hapa duniani, mnyama huyu amejizolea majina mengi sijui ni kwanini labda tu ya umaharufu wake,wengine humwita noah,mkuu wa meza ,hata kitimoto na mjomba mnene!! Cha kushangaza pia katika vitabu kama injiri na quraani pia vimemzungumzia mnyama huyu kila kitabu kimemzungumzia kwa kumtaja jina , tofauti na wanyama wengine kwani hata mwenyezi mungu katika vitabu takatifu nilivyovitaja hapo juu katika injiri ya yesu kristo ameonywa mwanadamu kutokula wanyama wasiocheuwa tena injiri ilikwenda mbali zaidi na kumtaja jina yaani Na NGURUWE!!!! Pia hata katika quraan mnyama huyu ametajwa kama afai kutumika kama kitoweo yaani ni haramu katika surat' tul- meda aya ya 3 mwenyezi mungu amekataza kabisa matumizi hata kufuga huyu mnyama, pia madaktari na watafiti wa magojwa yamebaini aina fulani ya mnyoo ambae upatikana katika huyu mnyama ambae usababisha ugojwa wa KIFAFA kwa mwanadamu endapo atakuwa na mazoeya ya kumtumia kama kitoweo