Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuuu ilaaaaaaaaa!!!! Je unataka kifafa au wewe unajua sana kumshinda mungu wakooooHuyo mnyama mtamu bana!
Cheki hizo pork chops.
![]()
duuuu ilaaaaaaaaa!!!! Je unataka kifafa au wewe unajua sana kumshinda mungu wakoooo
Asanteeeeeeeeeeeee! Maana kwa siku mbili tatu hizi naona viji maada chokonozi kuhusu huyu kitoweo! Long live wadau wote wa hii kitu... cheers!
unaleta udini sasa mkuu nimezungumzia vitabu vya mungunany acheni kuoa wake wengi ni haramu piah
Hiyo kitu mwake sana.
Hiyo kitu mwake sana.
View attachment 195801 Ni mojawapo ya aina nyingi ya wanyama wafugwao, mnyama huyu alianza kufugwa na mwanadamu zaidi ya miaka 2000 kabla ya yesu kuja hapa duniani, mnyama huyu amejizolea majina mengi sijui ni kwanini labda tu ya umaharufu wake,wengine humwita noah,mkuu wa meza ,hata kitimoto na mjomba mnene!! Cha kushangaza pia katika vitabu kama injiri na quraani pia vimemzungumzia mnyama huyu kila kitabu kimemzungumzia kwa kumtaja jina , tofauti na wanyama wengine kwani hata mwenyezi mungu katika vitabu takatifu nilivyovitaja hapo juu katika injiri ya yesu kristo ameonywa mwanadamu kutokula wanyama wasiocheuwa tena injiri ilikwenda mbali zaidi na kumtaja jina yaani Na NGURUWE!!!! Pia hata katika quraan mnyama huyu ametajwa kama afai kutumika kama kitoweo yaani ni haramu katika surat' tul- meda aya ya 3 mwenyezi mungu amekataza kabisa matumizi hata kufuga huyu mnyama, pia madaktari na watafiti wa magojwa yamebaini aina fulani ya mnyoo ambae upatikana katika huyu mnyama ambae usababisha ugojwa wa KIFAFA kwa mwanadamu endapo atakuwa na mazoeya ya kumtumia kama kitoweo
mkuu jambo kama hulijui ni vema ukanyamaza mambo ya dini waachie wanaoijua dini mkuu. mi nakushauri kasome upya afu uelewe na uje twnaView attachment 195801 Ni mojawapo ya aina nyingi ya wanyama wafugwao, mnyama huyu alianza kufugwa na mwanadamu zaidi ya miaka 2000 kabla ya yesu kuja hapa duniani, mnyama huyu amejizolea majina mengi sijui ni kwanini labda tu ya umaharufu wake,wengine humwita noah,mkuu wa meza ,hata kitimoto na mjomba mnene!! Cha kushangaza pia katika vitabu kama injiri na quraani pia vimemzungumzia mnyama huyu kila kitabu kimemzungumzia kwa kumtaja jina , tofauti na wanyama wengine kwani hata mwenyezi mungu katika vitabu takatifu nilivyovitaja hapo juu katika injiri ya yesu kristo ameonywa mwanadamu kutokula wanyama wasiocheuwa tena injiri ilikwenda mbali zaidi na kumtaja jina yaani Na NGURUWE!!!! Pia hata katika quraan mnyama huyu ametajwa kama afai kutumika kama kitoweo yaani ni haramu katika surat' tul- meda aya ya 3 mwenyezi mungu amekataza kabisa matumizi hata kufuga huyu mnyama, pia madaktari na watafiti wa magojwa yamebaini aina fulani ya mnyoo ambae upatikana katika huyu mnyama ambae usababisha ugojwa wa KIFAFA kwa mwanadamu endapo atakuwa na mazoeya ya kumtumia kama kitoweo
Hakika ni kuwa Agano la Kale katika Biblia imekataza ulaji wa nguruwe na akafanywa
kuwa ni haramu: Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 8).
Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shariah 14: 7 8 na pia Isaya 66: 17.
Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shariah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.
Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...
Rosemary Alvarez alijikuta akiwa na maumivu ya kichwa na mkono kukosa nguvu. baada ya kufanyiwa scanning ikaoneka kama ni "brain tumor", pindi alipofanyiwa upasuaji alikutwa na "mnyoo (taenia solium)" akiwa hai unakula brain yake. Chanzo hasa cha mnyoo huo ni kula nyama ya nguruwe ambayo kitaalamu anaprotein nyingi kuliko mnyama yoyote na hivyo kuvutia parasite wengi kwa mnyama huyu . Je ni watanzania wangapi wanapata uangalizi wa kugundua afya zao na wanakula nyama hii kila siku tena inayofugwa katika mazingira si salama?. soma zaidi kwenye link hii hapa chini
Source : ABC News: It's Not a Tumor, It's a Brain Worm
Angalia hapa Mchina huyu pia akitolewa minyoo mingi usoni ambayo pia ilisababishwa na utamaduni wa kula nyama ya nguruwe:
Kwa wale watu wabishi kuleni tu nyama ya nguruwe mukiumwa ugonjwa wa kifafa mimi nipo na nina dawa
ya kutibu hayo maradhi ya kifafa kwa pesa za ki-tanzania ni shillingi millioni 2 kuleni nyama mukiumwa
munitafute mimi kwa gharama za hizo pesa nitawatibuni.