Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

Pale unaingia ndani kabisa ya dagadagaa unaagiza unapopenda unaeza kula hata kilo mbili bila kujijua
 
Mkuu hatuzungumzii suala la dini hapa tunazungumzia kuhusu Madhara ya kula nyama ya nguruwe ukisema Quran na Biblia Biblia imetiwa Mikono na watu wengi Tu Mashuhuri tofauti na Quran haina mikono ya Watu ndugu.Bibilia ina makosa zaidi ya Elfu 50 Hebu tembelea hapa bonyeza hapa Answering Christianity : History of the Bible contradictions and corruption Section.
 
Mkuu, mara nyingi ukitaja Nguruwe kunakuwa na Vi-element vya Udini.
katika dunia kuna watu wasioamini katika mungu. Hawa watu ni Lazima watatafuta logic ya jambo lolote.Watu hawa wanaweza ku-criticize ukristo. lakini watu hawa ukiwauliza wengi wanapuuza quran kwakuwa wanasema imejaa Flaws za kutosha haina haja ya kuijadili.wanaitaja kama Anti -modernic n.k.
Sasa ukijisifu kuwa Quran haijabadilishwa wakati Ex-muslim waliobobea kwenye hiyo imani wanaona makosa mengi sana inashangaza. ninao ushahidi ningeweza kuuchapa hapa lakini bahati mbaya sio sehemu ya dini. Ukweli utabaki kuwa Ukweli, imani yako haitakiwi kujadiliwa, hata wewe pengine kwa kuhofu waumini wenzako zaidi, Huwezi kuuliza kitu kwakuwa utaitwa ''Kafir''. Kunyimwa kwako uhuru wa kuhoji imani yako ndiko kunakufanya uitetee, lakini mtu mwenye fikra huru(free thinker) hawezi kuijadili hiyo Quran kwani haivutii hata kuisoma na zaidi inaonyesha ina mambo mengi yenye utata na majibu yasiyo Constant. na waumini wameshapigwa marufuku kuihoji. na zaidi ya yote mtume wenu: anasema Quran Inababaisha sana!!!.

Na jambo kubwa kuliko yote ambalo linanipa utata kuhusu imani yako , ni kuwa haijalishi umetenda mema kiasi gani bado hauna uhakika wa kuifikia pepo...Isipokuwa tu kwa kuua kafir!!!! Na jambo la Pili ni utume wa Mohammad kaupata wapi tene katika umri mkubwa vile?
tatu kurasa za Kuran kuliwa na mbuzi na ukamilifu wa kurani!! hapa inaonyesha udhaifu mkubwa sana kwa imaniinayosemwa imeshushwa.Ni sawa na kusema Ujumbe uliotumwa naAllah haukuandikwa wote kwakuwa uliishiakwenye tumbo la Mbuzi.
Ni kawaida nikikuhoji haya utaacha kuuyajibu na kukimbilia kukosoa bibilia. lakini ni kwakuwa unajihepusha na swala la kuhoji imani yako.

Jaribu kuhoji kama utabakia huko. Na kama utabakia huko ..probable jibu litakuwa ni kutokana na hofu ya kuogopa kuuwawa na wenzako.
kwa mujibu wa baibo.. Mungu alisema kila alichokiumba ni chema..yaani hata nguruwe.
Hivi ikiwa Allah ameumba kiumbe haramu Huyo Allah atakuwa nani??

Mkuu lengo langu sio kubishana kuhusu Dini, bali Ukitaka kujua kuhusu Quran, Tafuta kitabu kinaitwa ''The Quran Dilemma'' kimeandikwa na Msaudi Arabia(X-MUSLIM) ambaye ameeleza ni jinsi gani Quran ilivyo na jinsi wakristo na waislamu wasivyoijua uislamu. Hili hapa chini ni Kava lake. knowledge is Power

Tukirudi kwenye hoja ya Nguruwe..kwa ufupi Nyama inayoliwa kwa Idadi kubwa ya watu ulimwenguni ni Nguruwe na sio Ng'ombe!!!
Sasa kama nyama inaliwa na bado watu wanaendelea kufuga nguruwe.. Why worry?nadhani mleta uzi alitakiwa aje na hoja za kuwafundisha wafugaji kitimoto wafuge kisasa ili wasipelekee maambukizi ya magonjwa.
 
Nimepata swali. Yani kinyesi cha mtu kina tegu. Nguruwe akila kinyesi anaambukizwa tegu. Mtu akimla nguruwe aliyepata tegu toka kwa mtu, anaambukizwa tegu ambao wanasababisha kifafa. Kwa nini mtu asijiambukize kifafa hadi amsubiri nguruwe?


Ni sawa sawa na mimi huwa nakula vizuri tu kuku aliyekula sumu !

Na wala sipati madhara yeyote yale!
Tukifuatilia sana mambo mengine haya! Bwana
!

Ni kazi sana kum convice mtu aliyeanza kula kiti moto tayari eti aache! Kwakuwa kina madhara!

Kiti moto siyo pombe bwana kwamba mtu ana acha kirahisi tu !
Niishie hapa !
 
Huyu nilishamjibu kiutaalamu kabisa. Si kwamba hakukuwa ila ni ubishi wa hoja uliojikita kwenye udini.

Hii infanya habari hii iwe ngumu kufikia muafaka. Mifugo yote ina patwa na magonjwa mengi, magonjwa mengine yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na aina ya mfumo wa ufugaji.

Ufugaji huria wa nguruwe ndo sababisho kubwa kwa magonjwa ya nguruwe ukiwemo ugonjwa tegu(Cysticercosis) unaoweza kusababisha kitaa kwa binadamu. Tegu (tapeworm) ni aina ya minyoo inayowapata nguruwe.
Hii ni kwa ufupi, sina muda kueleza kirefu.

.
 
Niwajibu kwa ufupi Snipe na Rain Fulani,

Si kila mwenye minyoo ya tegu atapata kifafa. Kifafa kinaweza kutokea tu endapo minyoo katika hata za mwanzo za ukuaji wataenda kushambulia ubongo. Kinachotokea ni kwamba minyoo wadogo watakaa ndani ya uvimbe mithili ya mapunye yenye malengelenge.

Uvimbe huu unaitwa kwa kitaalamu cyst na ugonjwa unaitwa Cysticercosis.

Katika hatua za ukuaji, minyoo wadogo humalizia hatua yao ya ukuaji na kuwa minyoo wakubwa kwenye utumbo. Huko hutaga mayai ambayo hutolewa nje kwa nja ya kinyesi. Au wakati mwingine vipingili vya tegu mkubwa vyenye mayai hukatika na kutoka kwenye kinyesi. Kinyesi hiki cha mwanadamu kisipo wekwa chooni kikakutana na nguruwe wanaozagaa ovyo hukila.

Hivi ndivyo inavyokuwa kwa muhtasari.

.
 



tunapelekana kwenye makosa tena mkuu
btw

tukizungumzia madhara yatokanayo na ulaji wa hizi nyama!
Utakuta hata nguruwe unaemzungumzia hapa ana afadhali sana kuliko nyama zingine !

Lakini hii inategemeana tu na matunzo ya mnyama mwenyewe na jinsi ya anavyo andaliwa kabla ya kuliwa!

Mkuu tusiangalie upande mmoja tu! Ktk haya makosa ya kidini ! BTW sawa ni lazima uvutie kwako!

Lakini tukija upande wa biblia! Makosa yanayofanywa na wengi ni kuitafsiri biblia kama wanavyosoma gazeti!
Na hii sababu kubwa ni lugha iliyotumika ktk biblia! Ni tofauti na quran!

>>>>>The Qu'ran Say Bible is Not Corrupt<<<<<<

japokuwa sio jukwaa la dini ila contradiction may arise !
 
Tunacho Zungumzia ni kuwa Nyama ya Nguruwe ina

madhara kuliko nyama yoyote ile duniani. Huwezi kufananisha nyama ya Nguruwe na nyama ya Ng'ombe au nyama ya

kondoo au nyama ya mbuzi? Nyama ya Nguruwe imeharamishwa katika dini zote kubwa Dini ya kiislam Dini ya Kikristo

na Dini ya kiyahudi Mungu ameharamisha Tusile nyama ya Nguruwe sasa wewe utaweza kushindana na Mungu aliye kuumba? Mungu wako ndio

amesema usile nyama ya Nguruwe sasa wewe huyo Mungu wako kwanini unambishia? Unakula nyama aliyokataza? Mimi

nitawezaje kushindana wewe unayeweza kushindana na huyo aliyekuumba wewe Mungu, Amekukataza Mungu wako usile nyama ya

nguruwe wewe unakula sasa mimi nitaweza kweli kukushinda wewe .Wakati wewe unashindana Mungu?

Wewe Mlokole Mbishi unabisha pia Maneno Matakatifu ya Mungu ndani ya Bibilia hebu soma hapa chini Biblia inavyosema hiyo nyama ya nguruwe. Ninanukuu:

Hakika ni kuwa Agano la Kale katika Biblia imekataza ulaji wa nguruwe na akafanywa

kuwa ni haramu: “Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).

Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shari’ah 14: 7 – 8 na pia Isaya 66: 17.

Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shari’ah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.
 
wewe unaleta ushahidi aliyesema mtu lete ushahidi unaotoka katika ndani ya Quran yenyewe kuwa kama ina kasoro usilete maneno ya mtu aliyetunga mwenyewe kuikosowa Quran hakuna mtu ataweza kuleta japo aya moja kisha uifananishe na aya Quran hicho kitu hakitowezekana kabisa mpaka mwisho wa Dunia Quran itabaki hivyo hivyo ilivyo ingawa Makafiri watachukia shauri yao wenyewe.
 

Don't judge book by its cover. Humo ndani kuna mistari ya kutosha...
REALLY!!! TANGU LINI MWISLAMU AKARUHUSIWA KUHOJI KORAN.?unataka upoteze imani bure?

Surah 5:101-102

O ye who believe! Ask not questions about things which if made plain to you, may cause you trouble. Some people before you did ask such questions, and on that account lost their faith." (Surah 5:101-102).
 
Tunacho Zungumzia ni kuwa Nyama ya Nguruwe ina

madhara kuliko nyama yoyote ile duniani. Huwezi kufananisha nyama ya Nguruwe na nyama ya Ng'ombe au nyama ya

kondoo au nyama ya mbuzi?

Mkuu hakuna mnyama asiye na Madhara kiafya!
Angalia negative effects of eating Red meats afu njo hapa!

Mana hapa una base ktk nguruwe kwasababu za kidini tu na hili halipingiki !

Ni wangapi wanao athirika kwa kula nyama ya Mbuzi na Kondoo
afu jiulize sasa ni wangapi walio athirika kwa kula nyama ya Nguruwe!

Na hata Sababu ulizo zileta hapa ! Za kula hiyo nyama ya Nguruwe!
Zote hasa husababishwa na matunzo anayopatiwa huyo Nguruwe!

Lakini ni tofauti na wanyama wengine kama kondoo !


Nyama ya Nguruwe imeharamishwa katika dini zote kubwa Dini ya kiislam Dini ya Kikristo

Na hapa ndipo Tatizo la udini !
Ukiangalia sababu za kutokuhalalishwa kwa nyama ya nguruwe ktk AGANO LA KALE !

Ni kuwa na kwato tatu na kutofanya Chewing !

Je inauhusiano wowote kiafya? Kama kutokuwa na kwato tatu au kutofanya chewing basi binadamu huyu wakawaida asile? (sawa kwakuwa wote tuna amini dini ni sahihi kulingana na sababu hiyo japokuwa siyo kiafya!)

Lakini messiah aliishakuja kaka (YESU KRISTO) na ukiangalia ktk AGANO JIPYA nguruwe ka halalishwa! Kaka !

na Dini ya kiyahudi Mungu ameharamisha Tusile nyama ya Nguruwe

Mkuu jews wao wanabase ktk Torati ambapo wao wana amini AGANO LA KALE

sasa wewe utaweza kushindana na Mungu aliye kuumba? Mungu wako ndio

amesema usile nyama ya Nguruwe sasa wewe huyo Mungu wako kwanini unambishia?

Hapa ndipo linapokuja swala la imani ! Mkuu
na wewe umeangalia verses za AGANO LA KALE mkuu kwamba mungu alikataza ulaji wa Nguruwe lakini angalia AGANO JIPYA linasemaje?

Biblia ni uwanja mpana mkuu!
Unaweza ukawa unasoma afu kumbe huelewi !


(1 SAMWELI 15:3)

3 basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala usiwaachilie; bali waueni, mwanaume na mwanamke, mtoto naye anyonyae, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda

kwa kuutafsiri mstari huu unaweza kusema mungu alihalalisha mauaji! Ya viumbe visivyo na hatia (mtoto nae anyonyae) ndo mana nasema biblia ni pana! Unaweza kuitafsiri vibaya!
Na hilo ni Agano la Kale !


sishindani na mungu mimi mkuu! Lakini nsaema kilicho sahihi !
Usijaribu kukwepa!

Wewe Mlokole Mbishi

Wewe Muislam Mbishi !
Ndipo swala la imani linapokuja!



Na ndipo nnaposema unaitafsiri biblia vibaya ! Mkuu
 
Sio kupika vizuri kawaida tegu hata yai likiingia mwilini kwako linaanza maisha. Na hata kipande cha tegu kikiingia mwilini kiaendelea kukua mbaya zaidi tegu hafi katika normal boiling point wapenda nguruwe jiangalieni. Ndio mana mungu alikataza hicho kiumbe hicho
 
Sina uhakika kama GESSELLE anajua anachosema, sinauhakika kama anajua vizuri mzunguko wa maisha ya tegu (Taenia solium). Ni vigumu kukuelimisha kisayansi, maelezo yako si sahihi.
 
Ni mojawapo ya aina nyingi ya wanyama wafugwao, mnyama huyu alianza kufugwa na mwanadamu zaidi ya miaka 2000 kabla ya yesu kuja hapa duniani, mnyama huyu amejizolea majina mengi sijui ni kwanini labda tu ya umaharufu wake,wengine humwita noah,mkuu wa meza ,hata kitimoto na mjomba mnene!! Cha kushangaza pia katika vitabu kama injiri na quraani pia vimemzungumzia mnyama huyu kila kitabu kimemzungumzia kwa kumtaja jina , tofauti na wanyama wengine kwani hata mwenyezi mungu katika vitabu takatifu nilivyovitaja hapo juu katika injiri ya yesu kristo ameonywa mwanadamu kutokula wanyama wasiocheuwa tena injiri ilikwenda mbali zaidi na kumtaja jina yaani Na NGURUWE!!!! Pia hata katika quraan mnyama huyu ametajwa kama afai kutumika kama kitoweo yaani ni haramu katika surat' tul- meda aya ya 3 mwenyezi mungu amekataza kabisa matumizi hata kufuga huyu mnyama, pia madaktari na watafiti wa magojwa yamebaini aina fulani ya mnyoo ambae upatikana katika huyu mnyama ambae usababisha ugojwa wa KIFAFA kwa mwanadamu endapo atakuwa na mazoeya ya kumtumia kama kitoweo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…