Habari mbaya kwa wale wanaotumia dawa za sumu za kizungu diclopa na diclophenac

Habari mbaya kwa wale wanaotumia dawa za sumu za kizungu diclopa na diclophenac

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
RADIO DORTCH VELLE YA MJINI KOLON UJERUMANI JANA ILITANGAZA DAWA ZA DICLOPA NA DICLOPHENAC KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU IMEGUNDULIKA VIDONGE HIVYO HUSABABISHA KANSA YA INI NA UBONGO, UGONJWA WA MOYO, KIHARUSI, VIDONDA VYA TUMBO AU KIFO CHA GHAFLA, waokoe kwa KUWATUMIA sms hii UWAPENDAO.wasitumie vidonge hivyo, pia na wewe usitumie

TAHADHARI: Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu!



Radio Dutch Velle ya mjini Kolon Ujerumani jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa na Diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu, Imegundulika Vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi, Vidonda vya Tumbo au kifo cha ghafla.

Chanzo: Radio Dutch Velle
 

Attachments

  • Diclofenac-Cataflam-Voltaren-Voltarol.jpg
    Diclofenac-Cataflam-Voltaren-Voltarol.jpg
    16.4 KB · Views: 1,119
  • Diclopa.jpg
    Diclopa.jpg
    10.4 KB · Views: 2,367
Kwanini kuna wakati ilitangazwa hivyo hapa nchini then serikali ikatoa tangazo ambalo liko ndani ya pharmacies zote from TFDA na wame-display (walipiga photocopy magazeti) ili ukiwa na doubt wanakuonesha kuwa hazina madhara. Kwanini? Kwanini jamani??
 
Kula Matunda ,Mboga za majani, Samaki, kuku mbuzi, kondoo, Mimea ya aina yoyote ile na Maji safi kwa afya yako vilivyo bakia vyote ni sumu juu yako jikinge navyo. Nyama ya ng'ombe na nyama ya nguruwe (Red Meat)vina maradhi pia.

Hakuna kilicho salama mkuu labda matunda poli!!
 
Kwanini kuna wakati ilitangazwa hivyo hapa nchini then serikali ikatoa tangazo ambalo liko ndani ya pharmacies zote from TFDA na wame-display (walipiga photocopy magazeti) ili ukiwa na doubt wanakuonesha kuwa hazina madhara. Kwanini? Kwanini jamani??
Sasa Serikali wakisema zina madhara hizo dawa zilizo kuwepo huku watanunuwa akina nani?
 
Mimi niliacha kitambo,kila nilipokuwa natumia hizo diclopa, vidonda vya tumbo vilifumuka. .....
Pia wanasema zinasaga mifupa. ...Ni hatari kwa afya zetu.
 
Nimeumia maana tangu 27 march nazitumia baada ya kuumia mguu lakini bado nasikia maumivu! Na nahisi ukavu kwenye magoti. Nashukuru sana kwa taarifa hii! Kuanzia leo situmii tena.
 
Back
Top Bottom