Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

Hukumbuki alisema wao hawatalipiza kisasi na
hata Mbowe aliwahi ongelea swala la maridhiano kama moja ya agenda ya chama chao?
Siyo chama chenu tena ni chama chao!? Umehamia chama kipi sasa baada ya kukisambaratisha au!?
 
Issue ya lisu ni kitendawili. Shahidi namba moja wa KUTOA maelezo chadema wamemficha. Unataka polisi wafanyeje ?
Shahidi namba moja ni Lisu, yeye ndio aliyeshambuliwa, yuko hai na alikuwa hapa nchini. Labda utuambie polisi wa kulinda gate nani aliwaagiza watoke kwenye lindo fullstop.
 
Hivyo baada ya uchaguzi nyumba za wanaCCM marufuku kuungua! Mbona ule moto wa ajabu polisi waliinua mikono, ilikuwa unazuka na kuunguza magodoro tu hata kama umelibeba kichwani! Chadema ni kiboko na jeuri.
 
Kabisa, Wana gubu ndio maana Mungu hawapi watakalo na wabongo hawafanyi watakavyo.
 
Sir Isaac Newton
first presented his three laws
His third law states that for every action (force) in nature there is an equal and opposite reaction. In other words, if object A exerts a force on object B, then object B also exerts an equal and opposite force on object A. Notice that the forces are exerted on different objects.
 
Na ccm wanapenda kujiona bingwa hata kama hawajaenda haki!

Upinzani inaonekana kama uadui, nchi zinazojitambua zinajari mawazo ya upande ambao si wao, bongo ni kukomoana, hivyo ni ccm inajenga uadui . Maana yake adui yako muombee njaa.
 
Hao polisi ndo wataaribu mambo zaidi maana wataenda kutembeza kichapo kwa hao bluu na zambarau kuwalazimisha wajichanganye kwa kijani.
 
Hakuna Jiwe litakalosimama bila kugeuzwa, its just the beginning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…