Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

Kwahiyo CDM ndo wamechoma moto hiyo nyumba?

Zinakuja nyakati ambazo MATAGA na CCM yenu hamtaweza kuwanyooshea kidole wapinzani (ACT & CDM) na kuwalaumu kwa matatizo yatakayo kuwa yanajitokeza katika nchi hii.
 
Safi sana. Hayo ndiyo malipo ya dhuluma. Mwanaume suruali lililohongwa na CCM kupitia NEC kwa gharama ya uhai wake na familia yake. Bwege huyo.
 
Na wewe ukisikia Lissu kalambwa risasi 16, au Ben saa nane kapotea, au Mawazo kacharangwa mapanga, au Mbowe na wenzake wanasota gerezani basi roho yako burudaaniii, unamwambia weitaa lete balimi baridi mbili, DJ weka wimbo wa Komba wa 'wataisoma nambaa [emoji445] [emoji445]'.....
 
Ongezea: wakisikia amehujumiwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wao roho kwatu, wamehujumiwa kwenye uchaguzi mkuu wao roho kwatu, wamekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya uonevu wao roho kwatu. Kwahiyo kila kitu kibaya kwao roho kwatu kwatu
 
Na wewe ukisikia CHADEMA imeshughulikiwa na policcm roho yako inajisikiaje? Au ni mkuki kwa nguruwe..?
 
Kwa ufupi huyu DED ni mwana-ccm kindakindaki, aliwahi kutia nia huko Songwe akaangushwa kwenye kura za maoni mwaka 2015 akawa kwenye timu ya Magu kwa mkoa wa Mbeya. Huko ndiko bwana yule alikomtoa na kuja kumpa u-DED hapo Meatu. Mwaka huu kaminya sana ushindi wa wapinzani maana majimbo yote ya wilaya ya Meatu (Meatu na Kisesa) yalikuwa yameangukia CHADEMA kabla ya usiku kupindua meza kibabe! Mpina alikuwa amepigwa chini na kibwana mdogo fulani hivi wanachukua kwa nguvu!
 
Police hawawezi kwenda kinyume na CCM, police uwatreat CCM Kama daraja tofauti na wenye haki kuliko wengine.
 

Ndo demokrasia hio sio upande mmoja pekee ndo wa kulia, demokrasia ni kupokezana kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…