King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sasa wewe tukio kama lile linawekwa jirani na Buza kwa mpalange unategemea nini? Nasikia wameenda hadi wanataka kuvamia ndege iliyobeba maiti waingie ndani wasepe nayo Dodoma. Watu wa Buza banah!
Eti mmama mzima unalia kwa kugalagala halafu maskini wale watoto maskaut wanambeba, Ni unyanyasaji wa watoto[emoji3]Hao waliokuwa wanajidondosha ni wale wamama wamezoea kushinda makanisa ya kilokole, full kuzimia...kingine walikuwa wanatafuta camera
Wapo watoto waliopotea. Ila pia wapo ambao wameenda kwa baraka ya wazazi..Kuna familia ipo kimara sijui mbezi..mama kaenda na watoto wake wawili pamoja na house girl, mama na watoto wake wamekufa, msichana wa kazi hajulikani alipo. Hapo ni uzembe wa baba na mama.Unaweza kuta mtoto katoroka, watoto wa temeke watundu sana
Mi nalaumu mzazi aliyeenda na mtoto mdogo pale huyo ndo bogus, zero
Hata uhuru pangetosha ila utaratibu ndio waliokosea, maiti isingetolewa uwanjani watu wangeaga usiku kucha hadi wale waliowai alfajili wangeshaondoka, tatizo lilikuwa ni kuusubiri mwili kutoka lugalo wakati uwanjani watu wameshajaa na wengine wanakuja, kwahio tukajazana na kulundikana, jua Kali, hewa nzito, njaa na kiu ndio hivyoImefikia stage hiyo, kwanini hiyo shughuli ya kumuaga Magufuli isingepelekwa uwanja wa Mkapa? au hapakuwa na polisi wa kutosha kusimamia hilo zoezi? anyway now it's too late.
Wapumzike kwa amani wote waliofariki.
Hapo COVID inaachaje kusambaa kwa mfano?Hata uhuru pangetosha ila utaratibu ndio waliokosea,,maiti isingetolewa uwanjani watu wangeaga usiku kucha hadi wale waliowai alfajili wangeshaondoka,,tatizo lilikuwa ni kuusubiri mwili kutoka lugalo wakati uwanjani watu wameshajaa na wengine wanakuja,,,kwahio tukajazana na kulundikana,,jua Kali,,hewa nzito,,njaa na kiu ,,ndio hivyo
Sasa hayo ndo mabogus full...naamini wengi pale shule tia maji, sidhani kama msomi kama huyo mwalimu tena mwalimu[emoji848][emoji848] ( nadhani umenielewa) na yeye kaminywa kafia pale, yule shule haijamkomboaWapo watoto waliopotea. Ila pia wapo ambao wameenda kwa baraka ya wazazi..Kuna familia ipo kimara sijui mbezi..mama kaenda na watoto wake wawili pamoja na house girl, mama na watoto wake wamekufa, msichana wa kazi hajulikani alipo. Hapo ni uzembe wa baba na mama.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Acha kuongea ujinga mkuu...Siku zikitimu hata tonge la wali litakubadili jina! Hata hiyo handset inaweza kukufanyizia😭!
Hutaki nini sasa, hata mate yako mwenyewe yanaweza kukupalia tukakubadirisha jina😭!Acha kuongea ujinga mkuu...
Any big event comes with all of its spendors...[3/21, 19:04] Rco Temeke.: AFANDE DCI,N/DCI,ZCO ,RPC,OP.OFFICER.
TUKIO KUBWA LILILORIPOTIWA NI TAARIFA YA VIFO VIKIVYOTOKEA UHURU STADIUM-CHA/RB/2267/2021 NA KUSABABISHA MAJERUHI KADHAA.
AIDHA MAOMBOLEZO YA HAYATI DR.JOHN POMBE MAGUFULI NA SHUGHULI ZA KUAGA MWILI ZIMEKAMILIKA KATIKA UWANJA WA UHURU . MWILI ULIONDOLEWA NA KUELEKEA UWANJA WA NDEGE WA JULIAS NYERERE TA YARI KWA SAFARI YA KUELEKEA DODOMA .WATU NI WENGI LAKINI PAMOJA NA ULINZI NA USALAMA KUIIMARISHWA KILA KONA ,NA VYOMBO VYOTE VYA ULINZI NA USALAMA,BADO KUMEJITOKEZA VIFO VILIVYOSABABISHWA NA MSONGAMANO NA KUKANYAGANA .WAMEKUFA WATU 45, KATI YAO WANAUME 11,AMBAPO MIONGONI MWAO KUNA WATU WAZIMA 6 NA WATOTO 5 .AIDHA WANAWAKE NI 34 AMBAPO KATI YAO WATOTO 2 NA WATU WAZIMA 32 .MAJERUHI KWA KUKANYAGANA NA KUKANDAMIZANA NA WANAENDELEA NA MATIBABU NI 32 AMBAPO 6 WAMEPELEKWA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI .TAARIFA KWA KIREFU MBIONI NA UCHUNGUZI ZAIDI UNAENDELEA.
NAOMBA KUWASILISHA .
[3/21, 19:04] Rco Temeke.: Afande wenzetu wa Dodoma,Zanzibar, Mwanza na Geita wachukue hadhari mapema wenye mapenzi kwa hayati ni weengiiii sana na wanalazimisha kuuaga mwili wote .Wajadiliane mbinu bora ya kudhibiti umati kwenye msiba huu mzito kwa nchi .TOKA RCO TEMEKE.
Mwendo ni huo huo. Maana lengo ni kuaminisha kuwa anapendwa.Dodoma na kwingineko wasirudie huo ujinga, sio lazima uende. Kaa nyumbani utulie fuatilia kwenye runinga.
Nawaonea huruma wale wenye umri mkubwaHapo COVID inaachaje kusambaa kwa mfano?
Watu wanaweza kwenda uwanjani, ila idadi izingatiwe. Wenye mamlaka wakishaona pamejaa, wazuie watu kuingia.kila mtu akifuatilia kwenye runinga nani atakuwepo uwanjani sasa?
Justification ya hii sredi Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?[3/21, 19:04] Rco Temeke.: AFANDE DCI,N/DCI,ZCO ,RPC,OP.OFFICER.
TUKIO KUBWA LILILORIPOTIWA NI TAARIFA YA VIFO VIKIVYOTOKEA UHURU STADIUM-CHA/RB/2267/2021 NA KUSABABISHA MAJERUHI KADHAA.
AIDHA MAOMBOLEZO YA HAYATI DR.JOHN POMBE MAGUFULI NA SHUGHULI ZA KUAGA MWILI ZIMEKAMILIKA KATIKA UWANJA WA UHURU . MWILI ULIONDOLEWA NA KUELEKEA UWANJA WA NDEGE WA JULIAS NYERERE TA YARI KWA SAFARI YA KUELEKEA DODOMA .WATU NI WENGI LAKINI PAMOJA NA ULINZI NA USALAMA KUIIMARISHWA KILA KONA ,NA VYOMBO VYOTE VYA ULINZI NA USALAMA,BADO KUMEJITOKEZA VIFO VILIVYOSABABISHWA NA MSONGAMANO NA KUKANYAGANA .WAMEKUFA WATU 45, KATI YAO WANAUME 11,AMBAPO MIONGONI MWAO KUNA WATU WAZIMA 6 NA WATOTO 5 .AIDHA WANAWAKE NI 34 AMBAPO KATI YAO WATOTO 2 NA WATU WAZIMA 32 .MAJERUHI KWA KUKANYAGANA NA KUKANDAMIZANA NA WANAENDELEA NA MATIBABU NI 32 AMBAPO 6 WAMEPELEKWA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI .TAARIFA KWA KIREFU MBIONI NA UCHUNGUZI ZAIDI UNAENDELEA.
NAOMBA KUWASILISHA .
[3/21, 19:04] Rco Temeke.: Afande wenzetu wa Dodoma,Zanzibar, Mwanza na Geita wachukue hadhari mapema wenye mapenzi kwa hayati ni weengiiii sana na wanalazimisha kuuaga mwili wote .Wajadiliane mbinu bora ya kudhibiti umati kwenye msiba huu mzito kwa nchi .TOKA RCO TEMEKE.
Watu wataaminije kuwa alikuwa anapendwa?Serikali iache kumzungusha zungusha marehemu mitaani,ameshakufa hana faida tena wakamfukie tu Maisha yaendelee wanataka kusababisha vifo zaidi na kuchochea corona