King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sasa wewe tukio kama lile linawekwa jirani na Buza kwa mpalange unategemea nini? Nasikia wameenda hadi wanataka kuvamia ndege iliyobeba maiti waingie ndani wasepe nayo Dodoma. Watu wa Buza banah!
% kubwa ya sisi waTZ ni vilaza ,tunakuwa easy sana kuwa brainwashed na "TANTALILA" za kwenye hamasa ,watu washalishwa matango pori kwamba jamaa alikuwa anapendwa na yeye anapata hisia kwamba anapendwa kweli wakati miaka hiyo aliyoongoza watu walikuwa wanasaga meno,njaa njaa tu.