Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Lakini watu tuna matatizo makubwa sn unaenda kumuona mtu ambaye hata hakujui kweli? maafa mengine ya kujitakia
 
Huyo Ni Yehodayalicious ana mambo ya ma anti sana
ana jitoa akili tu sometimes kuna michango yake mingi tu naisomaga naona ana akili nzuri tu sema anatatizo la kujitoa ufahamu baadhi ya threads
 
Mara uhuru mara taifa mbona hamueleweki???
Au mnadhani sisi wote humu ni wa mkoa???
Hizi picha za wa nigeria mtafungwa nyie!!!??
 
Vifo vingine ni vyakujitakia, msongamano mkubwa kama vile kwenda na watoto ndio kuonekana mzarendo umeguswa na marehem. .

Watu hawajifunzi kupitia Yule jamaa kule moshi Mwamposa watu 20 walirest
 
Nia yao ilikuwa njema watu wote waliofika waage kwa ukaribu.

Sasa angalia yaliyokea wamewaponza wenzao wa Dodoma wameaga bila kumuona karibu.
 
Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.

Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate.
Kwahiyo unataka kubisha🤦‍♀️🤦‍♀️
 
Nimeumia sana kwa vifo hivi kwa sababu ni vya familia moja. Mama na watoto wake wanne. Msichana wa kazi haonekani mpaka sasa

source: ITV taarifa ya habari usiku
IMG-20210322-WA0005.jpg
 
Ni kawaida kwa mfalme kuondoka na watu wake hao waliondoka watatuwakilisha kuhahakisha mpendwa wetu amefika salama.
 
Ila wazazi wanapaswa kulaumiwa sana kwa ishu kama hizi...jaman mtoto wa 10yrs unaendaje naye sehem za misiba au mnaendaje wote familia ya watu wa5 wote?mie nimeumia ila nisingeeda kuaga maana wanyonge wamejazana balaa..aku..polen familia
 
Ila wazazi wanapaswa kulaumiwa sana kwa ishu kama hizi...jaman mtoto wa 10yrs unaendaje naye sehem za misiba au mnaendaje wote familia ya watu wa5 wote?mie nimeumia ila nisingeeda kuaga maana wanyonge wamejazana balaa..aku..polen familia
Yani kwa kweli kila mtu ameguswa ila unatakiwa kuangalia aisee, pale kuna kina mama walikua na wtt mgongoni maskini kwa jua lile wtt wanalia tuu wengine wanaangushwa dah so sad
 
Back
Top Bottom