Ulikua ni ujuhaIla jamani watanzania tuwe tunashirikisha vichwa vyetu, mimi jana nilikuwa nimashangaa kweye tv naona wakinamamana watoo wadogo kwenye jua kwenye msongamano wanasukumana eti kenda kushuhudia. Hayo siyo mapenzi bali ni ufala, we mtu una mtoto mdogo hujali unaenda kwenye msongamano akifa sijui utalia kwa uchungu. Kwani ukikaa nyumbani ukaomboleza unapungukiwa na nini.
Pole kwa familia hiyo lakini jamani tuache ujuja
Hakuna kitu sipend kama kuongozana na watoto..je mkipata ajali? Au mnatembea mkagongwa..toka na wanao inapobidiKwakweli umasikini wa akili. Eti mwningne tena anaonekana kama anajielewa anadai mwanae kagoma kubaki nyumbani naye anataka aje kushuhudia basi naye kamleta.
Mimi nikiwa na mke nikakuta kafanya ujnga kama huo nampa taraka mbili kwanza akajifunze.
Yani sijui tuna muda mwingi wa kuharibu. Mpaka sasa najiuliza waliovunja gate la airport wakaingia walikuwa wanataka nn hasa, wakishalifikia jeneza then wafanyejeUlikua ni ujuha
Yani halafu unaongozana na watoto sehemu kaa hiyo kama vile unaenda beach. Kwakweli kuna mambo yanakera. Askari wakawa wanawazuia wenye watoto kuingia lakn wamekomaa tu mpaka wakaruhusiwaHakuna kitu sipend kama kuongozana na watoto..je mkipata ajali? Au mnatembea mkagongwa..toka na wanao inapobidi
Ukweli ni kwamba mama na wanawe wawili wa kuwazaa wamekufa mtoto wake mdogo alibaki nyumbani Na watoto wengine wawili wa shemeji zake pia wamefariki.Nimeumia sana kwa vifo hivi kwa sababu ni vya familia moja. Mama na watoto wake wanne. Msichana wa kazi haonekani mpaka sasa
source: ITV taarifa ya habari usikuView attachment 1731931
Wameyataka kwakwel...Yani halafu unaongozana na watoto sehemu kaa hiyo kama vile unaenda beach. Kwakweli kuna mambo yanakera. Askari wakawa wanawazuia wenye watoto kuingia lakn wamekomaa tu mpaka wakaruhusiwa
Maybe ila dahTusilaumu sana unajua kama siku yako imefika...imefika tu jamani hao hata km isingekua kwenda huko hata wangeakiwa na nyumba....ndo maana tunahimizwa tufanye mema hatujui saa wala mda Mungu anachukua uhai wake
Asante kwa marekebisho. Ila ni wtt wake pi hao wa shemejiUkweli ni kwamba mama na wanawe wawili wa kuwazaa wamekufa mtoto wake mdogo alibaki nyumbani Na watoto wengine wawili wa shemeji zake pia wamefariki.
Dada wa kazi bado hajulikani alipo kama hai au mfu kwa vile hajaonekana.
Best hivi ni kweli zamani sabasaba na nanenane mtoto akipotea halafu uende umpate kwa polis cha kwanza mzazi unazabwa vibao vya uhakika?Ila wazazi wanapaswa kulaumiwa sana kwa ishu kama hizi...jaman mtoto wa 10yrs unaendaje naye sehem za misiba au mnaendaje wote familia ya watu wa5 wote?mie nimeumia ila nisingeeda kuaga maana wanyonge wamejazana balaa..aku..polen familia
Hahahaa inawezekana mzee baba...Best hivi ni kweli zamani sabasaba na nanenane mtoto akipotea halafu uende umpate kwa polis cha kwanza mzazi unazabwa vibao vya uhakika?
Hakuna siku kufika,huo ni uzembe na ujingaTusilaumu sana unajua kama siku yako imefika...imefika tu jamani hao hata km isingekua kwenda huko hata wangeakiwa na nyumba....ndo maana tunahimizwa tufanye mema hatujui saa wala mda Mungu anachukua uhai wake
Halafu hawa wanawake ukiwatandika makofi ndio wakwanza kwenda ustawi wa jamii, mi huwa namkubali sana uchebe, tandika kisawa sawa hadi akili ikae sawa, ndio dawa yao!Baba usipokuwa dikteta.. wanawake wanaleta balaa..
Tazama mama kabeba watoto wake wote wadogo wadogo wakamuage magufuli .. mtoto anaenda msibani kufanya nini?
Maza alinisimuliaga akiwa hai. Aliniambia watoto nanenane walikuwa wanapoteaga halafu wanakusanywa kwenye kituo cha polis humo. Sasa ukienda kumtambua tu kofi.Hahahaa inawezekana mzee baba...
Ila Dah jiwe bana alivyo kuwa hai alikuwa anatoa kafara kafa bado tu anatoa.Nimeumia sana kwa vifo hivi kwa sababu ni vya familia moja. Mama na watoto wake wanne. Msichana wa kazi haonekani mpaka sasa
source: ITV taarifa ya habari usikuView attachment 1731931
Inakuwa kama wamepata hysteria hivi. Pale akili zinakuwa hazifanyi kazi vizuri. Saikolojia ya umati iko hivyo.Yani sijui tuna muda mwingi wa kuharibu. Mpaka sasa najiuliza waliovunja gate la airport wakaingia walikuwa wanataka nn hasa, wakishalifikia jeneza then wafanyeje
Kwakweli inawezekana maana kuna wengne walikimbiza gari wakjikuta wako airport na nauli ya kurudi hawana ma washachoka😂😂Inakuwa kama wamepata hysteria hivi. Pake akili zinakuwa hazifanyi kazi vizuri. Saikolojia ya umati iko hivyo.
Hhaha mie sijaishi maisha hayo aisee nimezaliwa mkoani nikitoka nje naona mashamba ya chai basi....bas kulikua na discpline...!Maza alinisimuliaga akiwa hai. Aliniambia watoto nanenane walikuwa wanapoteaga halafu wanakusanywa kwenye kituo cha polis humo. Sasa ukienda kumtambua tu kofi.
Pia na sikia miaka iyo binti akimtambulisha mchumba kwa wazazi wanamuuliza ni polisi ni dereca matrela akisema ndio wanasema Hapana binti yetu utakufa na ukimwi hawa wahuni sana