Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Ila jamani watanzania tuwe tunashirikisha vichwa vyetu, mimi jana nilikuwa nimashangaa kweye tv naona wakinamamana watoo wadogo kwenye jua kwenye msongamano wanasukumana eti kenda kushuhudia. Hayo siyo mapenzi bali ni ufala, we mtu una mtoto mdogo hujali unaenda kwenye msongamano akifa sijui utalia kwa uchungu. Kwani ukikaa nyumbani ukaomboleza unapungukiwa na nini.
Pole kwa familia hiyo lakini jamani tuache ujuja
Ulikua ni ujuha
 
Kwakweli umasikini wa akili. Eti mwningne tena anaonekana kama anajielewa anadai mwanae kagoma kubaki nyumbani naye anataka aje kushuhudia basi naye kamleta.
Mimi nikiwa na mke nikakuta kafanya ujnga kama huo nampa taraka mbili kwanza akajifunze.
Hakuna kitu sipend kama kuongozana na watoto..je mkipata ajali? Au mnatembea mkagongwa..toka na wanao inapobidi
 
Hakuna kitu sipend kama kuongozana na watoto..je mkipata ajali? Au mnatembea mkagongwa..toka na wanao inapobidi
Yani halafu unaongozana na watoto sehemu kaa hiyo kama vile unaenda beach. Kwakweli kuna mambo yanakera. Askari wakawa wanawazuia wenye watoto kuingia lakn wamekomaa tu mpaka wakaruhusiwa
 
Nimeumia sana kwa vifo hivi kwa sababu ni vya familia moja. Mama na watoto wake wanne. Msichana wa kazi haonekani mpaka sasa

source: ITV taarifa ya habari usikuView attachment 1731931
Ukweli ni kwamba mama na wanawe wawili wa kuwazaa wamekufa mtoto wake mdogo alibaki nyumbani Na watoto wengine wawili wa shemeji zake pia wamefariki.

Dada wa kazi bado hajulikani alipo kama hai au mfu kwa vile hajaonekana.
 
Yani halafu unaongozana na watoto sehemu kaa hiyo kama vile unaenda beach. Kwakweli kuna mambo yanakera. Askari wakawa wanawazuia wenye watoto kuingia lakn wamekomaa tu mpaka wakaruhusiwa
Wameyataka kwakwel...
 
Ukweli ni kwamba mama na wanawe wawili wa kuwazaa wamekufa mtoto wake mdogo alibaki nyumbani Na watoto wengine wawili wa shemeji zake pia wamefariki.

Dada wa kazi bado hajulikani alipo kama hai au mfu kwa vile hajaonekana.
Asante kwa marekebisho. Ila ni wtt wake pi hao wa shemeji
 
Ila wazazi wanapaswa kulaumiwa sana kwa ishu kama hizi...jaman mtoto wa 10yrs unaendaje naye sehem za misiba au mnaendaje wote familia ya watu wa5 wote?mie nimeumia ila nisingeeda kuaga maana wanyonge wamejazana balaa..aku..polen familia
Best hivi ni kweli zamani sabasaba na nanenane mtoto akipotea halafu uende umpate kwa polis cha kwanza mzazi unazabwa vibao vya uhakika?
 
Baba usipokuwa dikteta.. wanawake wanaleta balaa..

Tazama mama kabeba watoto wake wote wadogo wadogo wakamuage magufuli .. mtoto anaenda msibani kufanya nini?
Halafu hawa wanawake ukiwatandika makofi ndio wakwanza kwenda ustawi wa jamii, mi huwa namkubali sana uchebe, tandika kisawa sawa hadi akili ikae sawa, ndio dawa yao!
 
Hahahaa inawezekana mzee baba...
Maza alinisimuliaga akiwa hai. Aliniambia watoto nanenane walikuwa wanapoteaga halafu wanakusanywa kwenye kituo cha polis humo. Sasa ukienda kumtambua tu kofi.

Pia na sikia miaka iyo binti akimtambulisha mchumba kwa wazazi wanamuuliza ni polisi ni dereca matrela akisema ndio wanasema Hapana binti yetu utakufa na ukimwi hawa wahuni sana
 
Khaaaa, nilijua maneno ya mtaani kumbe kweliiii???

hivi Mme wake naye kamruhusu kweli au ndio toka nitoke????

Imagine umeacha familia nyumbani unaenda mizunguko unasikia wamekufa wote huko Taifa eti kisa sijui nani huko......

Ghhhhhh....., Huyu marehemu atanisababishia BAN na Kufuru ngoja niishie hapa.

Pole Kwa Baba wa hii familia.
 
Maza alinisimuliaga akiwa hai. Aliniambia watoto nanenane walikuwa wanapoteaga halafu wanakusanywa kwenye kituo cha polis humo. Sasa ukienda kumtambua tu kofi.

Pia na sikia miaka iyo binti akimtambulisha mchumba kwa wazazi wanamuuliza ni polisi ni dereca matrela akisema ndio wanasema Hapana binti yetu utakufa na ukimwi hawa wahuni sana
Hhaha mie sijaishi maisha hayo aisee nimezaliwa mkoani nikitoka nje naona mashamba ya chai basi....bas kulikua na discpline...!
 
Back
Top Bottom