Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Ulikua ni ujuhaIla jamani watanzania tuwe tunashirikisha vichwa vyetu, mimi jana nilikuwa nimashangaa kweye tv naona wakinamamana watoo wadogo kwenye jua kwenye msongamano wanasukumana eti kenda kushuhudia. Hayo siyo mapenzi bali ni ufala, we mtu una mtoto mdogo hujali unaenda kwenye msongamano akifa sijui utalia kwa uchungu. Kwani ukikaa nyumbani ukaomboleza unapungukiwa na nini.
Pole kwa familia hiyo lakini jamani tuache ujuja