Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamani tasrifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.

Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate
Kwa hiyo ajali zikitokea barabarani polisi wakitoa taarifa huwa na death certifacate?

Watu walioko eneo la tukio au ndugu zao wasiseme neno mpaka death certificate?
 
mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamani tasrifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.

Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate
Lini uliona TBC au REDIO ONE wakataja death cert?
Tanzania hatuna utaratibu huo.
 
Venue haikuwa mkapa ni uhuru stadium bana!
 
Venue haikuwa mkapa ni uhuru stadium bana!
vifo vya kujitaki. kwani ukikaa nyumbani kwako haionekani umeguswa?
Acha hizo, tutaendelea kwenda kumpa heshima za mwisho mpendwe wetu!
 
Duuuuh! Ila watu walikuwa wengi mno, hiv kwann wasinge peleka hiyo shughuli uwanja wa mkapa?
 
Kwa hiyo ajali zikitokea barabarani polisi wakitoa taarifa huwa na death certifacate?

Watu walioko eneo la tukio au ndugu zao wasiseme neno mpaka death certificate?
Ndio sababu hiyo ndio huonyesha sababu ya kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…