Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Salaam Wakuu,

Kuna habari mbaya ya watu wengi kufariki wakati wakiaga mwili wa hayati Magufuli.

Inadaiwa baadhi ya watu wamepelekwa Hospitali ya Temeke wengine wakiwa wamepoteza maisha na wengine kuzimia.

Nmempigia Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke kumuuliza juu ya vifo hivi, baada ya kujitambulisha tu, akanikatia simu. Hivyo nmeshindwa kujua Idadi kamili.

Hapa chini ni baadhi ya watu waliotajwa kupoteza maisha kenye msongamano Uwanja wa Uhuru Temeke Dar es Salaam

TANZIA!
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MWALIMU JANE NGONDE (MWALIMU MKUU WA S.M MGEULE) KILICHOTOKEA LEO MCHANA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA ALIPOKUWA AKISHIRIKI KUTOA SALAMU ZA MWISHO. TARATIBU ZA MAZISHI ZINAFANYIKA NA TUTAENDELEA KUJULISHANA. AIDHA TUNAITAARIFU KAMATI YA MAAFA- UVEMI KUENDELEA NA TARATIBU ZETU. R. I.P

Nyingine:

TANZIA: Mboka Nsobi Minga amefiwa na mkewe Lidia Shomari Minga ambaye leo tarehe 21/3/2021 asubuhi akiwa mzima wa afya alikwenda uwanjani kuaga mwili wa Hayati John Joseph Pombe Makufuli. Kifo chake kimesababishwa na kukanyagwa na umati wa watu uwanjani hapo. Mwili wake umehifadhiwa hospitali ya Temeke. Msiba upo Kilwa road Barracks
View attachment 1731031
Lidia Shomari

Mashuhuda wengine wamesema;

"Nilikuwa temeke hosp ninamgonjwa mama yangu mdogo, ambulance zilizoleta maiti pale ni zaid ya watu 40 aisee, kuna mama mjamzito kafa na watoto wake 2"

"Yan nilikuwa natetemeka tu ambulance zinaleta watu watatu watatu wengine mahututi wengine wamekufa Yan kweli magufuli tulimpenda Sana"
Ulijitambulisha kuwa wew ni nani
 
Na huko mikoani watazidi idadi mnaojielewa mchukue tahdhari hata kwa wapendwa wenu, mimi nilienda lakini nguvu za kwenda kuaga nilizikosa
 
Hata msiba wa Bob marley kna watu walipoteza maisha

Ova
 
Yule Mzee wa Shipa la Kimkakati LwandaMagere Magere aje atujuze kidogo pengine kuna watu wameweka tego kwenye Nyomi hilo... and Eneo la uwanja wa Taifa halipo mbali sana na yale Makaburi ya Machinjioni eneo la Makaburi lililogeuzwa Barabara kuu damu inamwagika sana pale
 
Imefikia stage hiyo, kwanini hiyo shughuli ya kumuaga Magufuli isingepelekwa uwanja wa Mkapa? au hapakuwa na polisi wa kutosha kusimamia hilo zoezi? anyway now it's too late.

Wapumzike kwa amani wote waliofariki.
Mkuu soma signature yangu hapa chini 👇👇👇
 
Salaam Wakuu,

Kuna habari mbaya ya watu wengi kufariki wakati wakiaga mwili wa hayati Magufuli.

Inadaiwa baadhi ya watu wamepelekwa Hospitali ya Temeke wengine wakiwa wamepoteza maisha na wengine kuzimia.

Nmempigia Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke kumuuliza juu ya vifo hivi, baada ya kujitambulisha tu, akanikatia simu. Hivyo nmeshindwa kujua Idadi kamili.

Hapa chini ni baadhi ya watu waliotajwa kupoteza maisha kenye msongamano Uwanja wa Uhuru Temeke Dar es Salaam

TANZIA!
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MWALIMU JANE NGONDE (MWALIMU MKUU WA S.M MGEULE) KILICHOTOKEA LEO MCHANA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA ALIPOKUWA AKISHIRIKI KUTOA SALAMU ZA MWISHO. TARATIBU ZA MAZISHI ZINAFANYIKA NA TUTAENDELEA KUJULISHANA. AIDHA TUNAITAARIFU KAMATI YA MAAFA- UVEMI KUENDELEA NA TARATIBU ZETU. R. I.P

Nyingine:

TANZIA: Mboka Nsobi Minga amefiwa na mkewe Lidia Shomari Minga ambaye leo tarehe 21/3/2021 asubuhi akiwa mzima wa afya alikwenda uwanjani kuaga mwili wa Hayati John Joseph Pombe Makufuli. Kifo chake kimesababishwa na kukanyagwa na umati wa watu uwanjani hapo. Mwili wake umehifadhiwa hospitali ya Temeke. Msiba upo Kilwa road Barracks
View attachment 1731031
Lidia Shomari

Mashuhuda wengine wamesema;

"Nilikuwa temeke hosp ninamgonjwa mama yangu mdogo, ambulance zilizoleta maiti pale ni zaid ya watu 40 aisee, kuna mama mjamzito kafa na watoto wake 2"

"Yan nilikuwa natetemeka tu ambulance zinaleta watu watatu watatu wengine mahututi wengine wamekufa Yan kweli magufuli tulimpenda Sana"
Jamani ila watu.Mimi nimeangalia nyumbani tu. Ya nini kwenda kwenye msongamano wote huo?Sasa wamefuata vifo vyao. Inasikitisha.
 
nyumbu lazima wafe sana!
sasa kama huyo mrembo lydia,ukute hatahakutumika vizuri,engine ilikuwa haijamwaga oil kivile,anakufa kizembe hivi!
dah,anyways mwisho wa maigizo haya ni 26/03/2021!
ahahaha,kuna watu wanataka kumfanyia siasa marehemu!
 
Salaam Wakuu,

Kuna habari mbaya ya watu wengi kufariki wakati wakiaga mwili wa hayati Magufuli.

Inadaiwa baadhi ya watu wamepelekwa Hospitali ya Temeke wengine wakiwa wamepoteza maisha na wengine kuzimia.

Nmempigia Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke kumuuliza juu ya vifo hivi, baada ya kujitambulisha tu, akanikatia simu. Hivyo nmeshindwa kujua Idadi kamili.

Hapa chini ni baadhi ya watu waliotajwa kupoteza maisha kenye msongamano Uwanja wa Uhuru Temeke Dar es Salaam

TANZIA!
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MWALIMU JANE NGONDE (MWALIMU MKUU WA S.M MGEULE) KILICHOTOKEA LEO MCHANA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA ALIPOKUWA AKISHIRIKI KUTOA SALAMU ZA MWISHO. TARATIBU ZA MAZISHI ZINAFANYIKA NA TUTAENDELEA KUJULISHANA. AIDHA TUNAITAARIFU KAMATI YA MAAFA- UVEMI KUENDELEA NA TARATIBU ZETU. R. I.P

Nyingine:

TANZIA: Mboka Nsobi Minga amefiwa na mkewe Lidia Shomari Minga ambaye leo tarehe 21/3/2021 asubuhi akiwa mzima wa afya alikwenda uwanjani kuaga mwili wa Hayati John Joseph Pombe Makufuli. Kifo chake kimesababishwa na kukanyagwa na umati wa watu uwanjani hapo. Mwili wake umehifadhiwa hospitali ya Temeke. Msiba upo Kilwa road Barracks
View attachment 1731031
Lidia Shomari

Mashuhuda wengine wamesema;

"Nilikuwa temeke hosp ninamgonjwa mama yangu mdogo, ambulance zilizoleta maiti pale ni zaid ya watu 40 aisee, kuna mama mjamzito kafa na watoto wake 2"

"Yan nilikuwa natetemeka tu ambulance zinaleta watu watatu watatu wengine mahututi wengine wamekufa Yan kweli magufuli tulimpenda Sana"
We journalist noma
 
Back
Top Bottom