UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kamanda hasira iko wapi hapo?Hasira za nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda hasira iko wapi hapo?Hasira za nini mkuu?
Kuna mama mmoja alikuwa amebeba mtoto mdogo kufika kwenye mwili wa Magu akaanguka na mtoto akatupwa kule, ningekuwa askari yaan ningemtandika vibao alafu ndio namnyanyua alafu namsubiria akizinduka namchapa vibao vingine akamsimulie mume wakeKuna wamama wapuuzi sana wameenda na watotto wadogo
Hata yeye mwenyewe angewaambia maneno hayo hayo: "Viherehere vyao".Viherehere vyao, na bado wapo wengi watakaokufa kwa covid 19 kwani walikuwa bado wanaamini msimamo wa kijinga wa marehemu kuwa tz hakuna corona
Tena hiyo Kada wamejaa hatari, hivi MTU Una kwako Kwa nini usitulie unaangalia Kwa luninga?. Nilisema ugumu WA maisha unachangia watu wanaofikiri kuna zali linaweza jitokeza.Hivi hawana wanaume hawa wanawake maana majority wamevaa Madera wanaenda kutafta sifa za kijinga kuzurula na watoto wadogo. I'm sure hapo uhuru wamekufa wengi
Mida ya Mchana wa leo nimebahatika kupita kilwa road nikitokea kariakooMleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.
Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate
Kwa waliondaa hio shughuliSo sad!
Hili nalo lawama ni kwa Magufuli au?
Kimbelembele chao tu, Magufuli wala hayupo hukoMagu unataka kusepa na mtu ngapi wewe embu nenda mwenyewe kwanza aisee.
Roho yako ipumzike sasa Nyanda.
Kwakuwa Watanzania ni wabishi na wengi wao ni wajinga na wapumbavu wasioelewa hata wakiambiwa shauri zaoHao ni physical victims wa msongamano. Sijui viral victims wa msongamano itakuwaje maana barakoa hazikupewa nafasi yake?....
Wanamtafutia sifa za kijinga marehemu sijui zitamsadia Nini?Duh!
Viongozi wetu wa usalama wanakosea sana. Hadi kwenye misiba wanataka kutuaminisha kuwa wingi wa watu ndio upendo!
Anyway, naiombea familia ya Hayati Dr. JPM pamoja na Watanzania wenzangu faraja. Tusisahau kuwa kila aliyeumbwa na Mungu na kuwepo duniani anaumuhimu wake. Tuzidi kuombeana kila iitwapo leo.
Naona unaporosha mitusi tuKamanda hasira iko wapi hapo?
Nawashangaa event ya Kwanza kwenda ni siku ya wanawake na sababu ofc ilikuwa inatoa kabahasha Ila sharti ufike. Nilipokunja bahasha yangu nikaondoka saa 6 hakuna hata dalili za Mheshimiwa kuonekana, ndani MC Zembwela alikuwa na kazi ya kutisha watu.Watu watulie majumbani sio kila mahali lazima uende.Wengi ilikuwa umbeya tu, Mimi msiba wakiongozi hata mda ya kwenda sina ni rahisi hata lolote kutokea na ule misongamano
Vihereherevifo vya kujitaki. kwani ukikaa nyumbani kwako haionekani umeguswa?
ViherehereWatu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa Mimi nilishangaa kina Mama na watoto huko kwenye misongamano
Sidhani hata wewe kuwa unapendwa na watu wote!Ishi vizuri na watu ili siku ya kifo chako watu wasidanganye
KijanaMkuu hivi nyanda maana yake
Hata Askari mwili watatoshakila mtu akifuatilia kwenye runinga nani atakuwepo uwanjani sasa?
Watz Ni vichaa Fulani hiviKweli Watanzania, tunajijua wenyewe....., utakuta hapo pia walikuwepo wazazi wanawapeleka pia watoto wao, mtu unabana wenzako, unakimbia na kuwakanyaga eti ili uende kuaga mtu aliyeondoka..., si kwanza uwaage hawa unaowakanyaga ?