Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Nawashangaa event ya Kwanza kwenda ni siku ya wanawake na sababu ofc ilikuwa inatoa kabahasha Ila sharti ufike. Nilipokunja bahasha yangu nikaondoka saa 6 hakuna hata dalili za Mheshimiwa kuonekana, ndani MC Zembwela alikuwa na kazi ya kutisha watu.Watu watulie majumbani sio kila mahali lazima uende.
Tena zama hizi za Corona hafu kukiwa na msiba huwa kuna ka uzuni flani misongamano Mara kusukumana mwishowe uzimie ukanywage hapo ni kujilaumu kwa ujinga wako mwenyewe
 
Waliohamasisha watu kwenda Uwanjani walikosea
JWTZ huwa hawajui handling ya watu wa kawaida wao wanapenda amri zitekelezwe
Hamasa haikua kubwa, ni Kunenge kasema tu watu wajitokeze. Hii hata asingesema watu wangeenda maana walishabiwa ni siku yao ya kuuaga mwili.
 
Tena hiyo Kada wamejaa hatari, hivi MTU Una kwako Kwa nini usitulie unaangalia Kwa luninga?. Nilisema ugumu WA maisha unachangia watu wanaofikiri kuna zali linaweza jitokeza.
Mtu na dera lake kubwa hajala mchana huyo kuzurula kwanini usizimie huko,Mimi siwahurumii wazembe wasio tumia akili mpaka wadaganywe na wanasiasa mara wanyonge sijui madudu gani ona sasa unakufa kizembe hvo
 
We umeponaje?
Nilipoona wanajeshi wanasukuma watu na kuwapiga wakati ni wengi na wamebanana nilitoka kwenye huo mkusanyiko na kwenda jukwaani na kujaribu kuchunguza njia nyingine ya kufika kwenye yale mahema.
 
Kaweka mfumo wa usiri unaoendelea mpaka sasa kwa hiyo haepuki lawama.

Lawama za mambo ya kimfumo hqziishi mtu akifa.

Baba ukishindwa kuelimisha wanao, hata ukifa utabaki na lawama tu.

Kifo chako si mwisho wa lawama kwako.
Mueleze Huyo mzee kuwa ukifa huwa mtakatifu .
 
Mtu na dera lake kubwa hajala mchana huyo kuzurula kwanini usizimie huko,Mimi siwahurumii wazembe wasio tumia akili mpaka wadaganywe na wanasiasa mara wanyonge sijui madudu gani ona sasa unakufa kizembe hvo
Wanaenda tafuta madanga msibani[emoji1][emoji1787][emoji1483]
 
Hata kwenye hija wanakufa maelfu. Mungu awape pumziko la amani
 
Viherehere vyao, na bado wapo wengi watakaokufa kwa covid 19 kwani walikuwa bado wanaamini msimamo wa kijinga wa marehemu kuwa tz hakuna corona
au sio mkuu,roho inakufirigita kuona watu wameenda kuaga mpendwa wao.mpaka unafurahi wakifariki.


covid itakufanya wewe kabla yao,Mungu asikie maombi yangu.
 
Nilipoona wanajeshi wanasukuma watu na kuwapika wakati ni wengi na wamebanana nilitoka kwenye huo mkudanyiko na kwenda jukwaani na kujaribu kuchunguza njia nyingine ya kufika kwenye yale mahema.
Aisee pole sana, sasa kwani ungeahirisha ungepoteza/ungekosa kitu gani
 
Watu 60 ni wengi mno jamani. Tangu mwanzo tulipoona serikali haijui ianze na lipi tulionya lakini watu hawakusikia.
 
Back
Top Bottom