MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Pole kwa msibaUmefurahi maana umepata mada ya kumnang’a Marehemu kama kawaida yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa msibaUmefurahi maana umepata mada ya kumnang’a Marehemu kama kawaida yenu
BS.Sawa unaleta dharau na COVID 19
Marehemu pia alilieta madharau
Kama unadhani huwezi kufa kwa covid nenda kajiexpose freely kwenye manyomi yote unayoyajua kwa wiki moja tu inatosha .
Mimi kilaza ndio maana nimeumia JPM kufariki.Mmoja wapo Ni wewe[emoji1787][emoji1][emoji1483]
Mbona na wewe ni wale waleTanzania inakumbwa na tatizo kubwa la ujinga, ujinga umekuwa sifa. Ujinga ndio mtaji wa watawala wa Tanzania.
Ujinga! ujinga! ujinga! utaondoka lini utuachie timamu zetu?
Umeona Dodoma?. Tuombe MUNGU vinginevyo issue ya Mafuta ya Mwamposa itajirudia.Mtu na dera lake kubwa hajala mchana huyo kuzurula kwanini usizimie huko,Mimi siwahurumii wazembe wasio tumia akili mpaka wadaganywe na wanasiasa mara wanyonge sijui madudu gani ona sasa unakufa kizembe hvo
Huyo ana IQ ndogo.Unataka kuniamvia wewe na jpm, jpm ndio alikua exposed sana na covid?? Negro please!
Jpm kafa na heart complications by the way...
Niliahirisha...sikufanikiwa kwenda ona mwili. Watu wengi na mazingira pale uwanjani niliona hayako rafiki.Aisee pole sana, sasa kwani ungeahirisha ungepoteza/ungekosa kitu gani
Unaionya unadhani hawajui wanachofanya? Mtaji wao huo, hizo ni point 3 home bado awayWatu 60 ni wengi mno jamani. Tangu mwanzo tulipoona serikali haijui ianze na lipi tulionya lakini watu hawakusikia.
Unaacha watoto siku wanakua wanaambiwa Mama yako alikufa kwenye msongamano WA kuaga mwili. Kweli wajinga Tanzania wameongezeka.Wanaenda tafuta madanga msibani[emoji1][emoji1787][emoji1483]
Kimbelembele tu kinawaponzaUnaacha watoto siku wanakua wanaambiwa Mama yako alikufa kwenye msongamano WA kuaga mwili. Kweli wajinga Tanzania wameongezeka.
Wale nani?Mbona na wewe ni wale wale
Pole sana ndugu na hongera kwa kuchukua maamuzi sahihiNiliahirisha...sikufanikiwa kwenda ona mwili. Watu wengi na mazingira pale uwanjani niliona hayako rafiki.
Naunga mkono hojaViherehere vyao, na bado wapo wengi watakaokufa kwa covid 19 kwani walikuwa bado wanaamini msimamo wa kijinga wa marehemu kuwa tz hakuna corona
msimsingizie maerehemu.Muacheni marehemu apumzike kwa amani.Magu unataka kusepa na mtu ngapi wewe embu nenda mwenyewe kwanza aisee.
Roho yako ipumzike sasa Nyanda.
Wametangaza serikali ambao ndio hutoa hivyo vyeti vya vifo ndio maana naamini kauli ya serikaliWewe unajiona una akili?
Kweli mko busy!Nilipoona dalili za STAMPEDE, niliachana na foleni nikapanda jukwaani na kutafuta ustaarabu mwingine wa kumuaga jpm, sikufanikiwa mpaka saa nane nikaondoka...
Ni binadamu wenzangu. Nikiona binadamu anapoteza maisha kwa jambo linaloweza kuepukika nasikitika sana. How about you? Hapa jirani kuna dada mmoja amefariki na mtoto. Hebu fikiria mtu mzima na akili zake anabeba mtoto kwenda sehemu kama hizo! Huoni anaweza kuwa mjinga kuliko hata wewe?Hivi kiherehere chao Kwenye mambo hayo yasio na msingi kinakuhusu nini wewe mwerevu ?
Sasa adanganye ili iwe Nini, tunaposema Fulani kafa hua tunaambatanisha na death certificate? Ya Maalim Seif uliiona?Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.
Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate
Mkuu hilo swali sijakuuliza wewe, au ushalewa?Wametangaza serikali ambao ndio hutoa hivyo vyeti vya vifo ndio maana naamini kauli ya serikali
Chadema huwa mnatoa certificatebof death?