Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Hiyo kamati ya mazishi imefeli sana! Kwa nini waliruhusu watu kukaa mle uwanjani kama kuna mechi ya Yanga na Simba? Huo mwenge sasa si uzimwe tu? Kwani kuna haja ya kuutembeza mpaka Zenji?
 
Hiyo kamati ya mazishi imefeli sana! Kwa nini waliruhusu watu kukaa mle uwanjani kama kuna mechi ya Yanga na Simba? Huo mwenge sasa si uzimwe tu? Kwani kuna haja ya kuutembeza mpaka Zenji?
Vitu vingine uulize kwanza
Watu wameruka ukuta, watu wamepenya Kwenye mifereji, watu wammevunja mageti
 
Uzembe tu, kwa hali ilivyo ya maambukizi ya covid kweli unaacha mambo yako unaenda ili hali tukio linaonyeahwa kwenye tv, hujavaa barakoa unasomba watoto, vifo vongine ni kujitakia
 
Uzembe tu, kwa hali ilivyo ya maambukizi ya covid kweli unaacha mambo yako unaenda ili hali tukio linaonyeahwa kwenye tv, hujavaa barakoa unasomba watoto, vifo vongine ni kujitakia
Hao unaowaona wamejazana hapo ndio wale unaowaona wamejazana kwenye daladala,pantoni,sokoni na hawafi mnakufa nyinyi matajiri mnaoshinda kwenye ac huku mmevaa barakoa
 
Halaf mtasema Tuliwapenda lakini Mwenyezi Mungu aliwapenda zaidi. Vifo vingine bana dah! Haya bana!
 
Kulikuwa na uzembe mkubwa katika kusimamia zoezi zima la uagaji kwa hiyo haya ni matokeo yake, zile lugha za Gondwe waacheni tu wamekuja kumuaga baba msiwamwagie maji hawa ni wateja wetu na blah blah nyingine hazikuwa sawa ilitakiwa wawaache askari washughulikie sasa baada ya ongezeko la watu maana amri za kiraia zilikuwa hazifai tena pale
 
Wyatt Mathewson
hao wanaokufa kwa kupenda acha wamsindikize marehemu!
hofu yangu ni another wave of covid19!
cause that gonna kill people in thousands if not tens of thousands!
let us wait and watch,the way crazy people run into death carelessly instead of running away from it!
 
Acha ujuaji wa kipumbavu

Alichofanya Godwin yuko sahihi, amewataka watu kwenda majukwani wamuage mpendwa wetu kwa kumpungia mikoni
Kwa upumbavu wako ultaka kila mtu apite mule unadhan ingewezekana ?
Watu wa JF ujuaji mwiiiiingi ndio maana
 
Hao unaowaona wamejazana hapo ndio wale unaowaona wamejazana kwenye daladala,pantoni,sokoni na hawafi mnakufa nyinyi matajiri mnaoshinda kwenye ac huku mmevaa barakoa
Wanakufa sana tu, sema kwa sababu ni nobodies vifo vyao vinapita tu
Hata hapo kwa Mkapa si unaona wanavyokufa sababu ya msongamano na shughuli inaendelea as if nothing happened?
 
Back
Top Bottom