Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Kuna wamama wapuuzi sana wameenda na watotto wadogo
Kuna mama mmoja alikuwa amebeba mtoto mdogo kufika kwenye mwili wa Magu akaanguka na mtoto akatupwa kule, ningekuwa askari yaan ningemtandika vibao alafu ndio namnyanyua alafu namsubiria akizinduka namchapa vibao vingine akamsimulie mume wake

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hawana wanaume hawa wanawake maana majority wamevaa Madera wanaenda kutafta sifa za kijinga kuzurula na watoto wadogo. I'm sure hapo uhuru wamekufa wengi
Tena hiyo Kada wamejaa hatari, hivi MTU Una kwako Kwa nini usitulie unaangalia Kwa luninga?. Nilisema ugumu WA maisha unachangia watu wanaofikiri kuna zali linaweza jitokeza.
 
Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.

Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate
Mida ya Mchana wa leo nimebahatika kupita kilwa road nikitokea kariakoo
Nikiwa kweny daladala from "EYE WITINESS ACCOUNT" Kutoka kwa wa mama wale kinacho semwa na Roving Journalist ni Cha kweli

Watu walikua wengi Sana kiasi kwamba kulikuwa na msongamano mkubwa sana
Kutokana na msongamano mkubwa wa watu ulio pelekea oxygen kupungua ilibidi ma Askari waanze kumwagia watu maji

Kuna kina mama waliokuwa na vichanga, wajawazito, na watoto wa chini ya miaka saba walitangaziwa warudi nyumbani lakini Wapi

Hawa kina mama walikua wanasimulia uwanjani ndani kulikuwa na watu wengi sana kuna baadhi yao wameanguka kwa kukosa hewa pia walisimulia kisa cha mama mmoja ambae watoto wake wawili wamefariki.

Kifo Cha JPM kimegusa Mioyo ya wengi Pumzika KWA amani Baba
 
Wapeleke mwili Chato wakazike hayo maonesho yaliyobakia mikoa mingine yatasepa na watu pia
 
Magu unataka kusepa na mtu ngapi wewe embu nenda mwenyewe kwanza aisee.

Roho yako ipumzike sasa Nyanda.
Kimbelembele chao tu, Magufuli wala hayupo huko
Mkuu hivi nyanda maana yake nini?
 
Hao ni physical victims wa msongamano. Sijui viral victims wa msongamano itakuwaje maana barakoa hazikupewa nafasi yake?....
Kwakuwa Watanzania ni wabishi na wengi wao ni wajinga na wapumbavu wasioelewa hata wakiambiwa shauri zao
 
Duh!
Viongozi wetu wa usalama wanakosea sana. Hadi kwenye misiba wanataka kutuaminisha kuwa wingi wa watu ndio upendo!
Anyway, naiombea familia ya Hayati Dr. JPM pamoja na Watanzania wenzangu faraja. Tusisahau kuwa kila aliyeumbwa na Mungu na kuwepo duniani anaumuhimu wake. Tuzidi kuombeana kila iitwapo leo.
Wanamtafutia sifa za kijinga marehemu sijui zitamsadia Nini?
 
Wengi ilikuwa umbeya tu, Mimi msiba wakiongozi hata mda ya kwenda sina ni rahisi hata lolote kutokea na ule misongamano
Nawashangaa event ya Kwanza kwenda ni siku ya wanawake na sababu ofc ilikuwa inatoa kabahasha Ila sharti ufike. Nilipokunja bahasha yangu nikaondoka saa 6 hakuna hata dalili za Mheshimiwa kuonekana, ndani MC Zembwela alikuwa na kazi ya kutisha watu.Watu watulie majumbani sio kila mahali lazima uende.
 
Kweli Watanzania, tunajijua wenyewe....., utakuta hapo pia walikuwepo wazazi wanawapeleka pia watoto wao, mtu unabana wenzako, unakimbia na kuwakanyaga eti ili uende kuaga mtu aliyeondoka..., si kwanza uwaage hawa unaowakanyaga ?
Watz Ni vichaa Fulani hivi

Ndio maana tunaendeshwa kiboya
 
Back
Top Bottom