Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
- Thread starter
-
- #61
Ahsantee nadhani utakua rafiki yangu.Karibu
Unachoandika usitetemeke kubadili sababu wengime wanakusakama hawapendi, jisimamie.
Ila hapana maneno machafu, watakuripoti utakula ban.
Mkuu nahitaji marafikiMgeni on freak
Mbona una sound kama ke
Kweli kabisaHuyu mgeni akaguliwe!!
Nikaguliwe niniHuyu mgeni akaguliwe!!
hili jina Ray lilikuepo sana hapa likapotea ghafla wakati wa tamko la mheshimiwa sa sijui umerudi kivingine au inakuajeWelcome back....Tulimiss thread zako
Mm naona unasound kike halafu unasema ww dume. BTW Te Quero muchoKumbe una jibu lako kabisa
Hapana mkuu mm nimeijua jf kupitia page yao moja fb ndio imenidirect hukuhili jina Ray lilikuepo sana hapa likapotea ghafla wakati wa tamko la mheshimiwa sa sijui umerudi kivingine au inakuaje
Mm naona unasound kike halafu unasema ww dume. BTW Te Quero mucho
Duh mgeni unajua mpaka maandishi ya rangi rangi.Nakupenda wewe basi tu
Ahsanteeees numbisa love you alwaysHhaahaha aisee usiku mwema
Rayyoung ndio nani mkuuDuh mgeni unajua mpaka maandishi ya rangi rangi.
Wewe ni Rayyoungr tushakujua
namchora tuBest yako huyu,anakuchora tu
Wewe kama sio Rayyoungr basi ww ni mondray kama sio hawa wote wawili naomba mods wanipe banRayyoung ndio nani mkuu
Mbona naambiwa sana kua mm ni Mondray. Ndio nani huyo na rayyoungr ndio naniWewe kama sio Rayyoungr basi ww ni mondray kama sio hawa wote wawili naomba mods wanipe ban
Sinio ndio wakina naniSisi ni seniors, hivo siyo wenzako
huyu ni RayyoungrWewe kama sio Rayyoungr basi ww ni mondray kama sio hawa wote wawili naomba mods wanipe ban