Habari members wenzangu, mimi mgeni hapa

Habari members wenzangu, mimi mgeni hapa

Karibu

Unachoandika usitetemeke kubadili sababu wengime wanakusakama hawapendi, jisimamie.

Ila hapana maneno machafu, watakuripoti utakula ban.
Ahsantee nadhani utakua rafiki yangu.
Will you?
 
hili jina Ray lilikuepo sana hapa likapotea ghafla wakati wa tamko la mheshimiwa sa sijui umerudi kivingine au inakuaje
Hapana mkuu mm nimeijua jf kupitia page yao moja fb ndio imenidirect huku
 
Back
Top Bottom