Habari mimi ni mgeni humu

Habari mimi ni mgeni humu

Habari ndio hiyo mkuu.

Mgeni akija.
Mazungumzo yawe hivi;

Mgeni: hodi wenyewe!
Wewe: Karibu!
Mgeni: ahsante za hapa
Wewe: nzuri.
Anakaribia.
Unampa kazi ya kuchota maji then anakula
Sawa mkuu
 
BigBaba utaniwia radhi kwa kweli cjui llt kuhusu mtu huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatokea nchi gani mwenzetu mana Kama hujui chochote kuhusu Daudi Bashite na upo Tz na unasimati foni pia Upo JF. We we ni mzigo humu Ndugu yangu hautatufaa.
Kwa tarifa tu fupi Daudi Bashite alipata zero mengine utajuaga mbeleni huko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] BigBaba dooooh
 
Back
Top Bottom