habari natafuta mtu ambaye yupo tayari kukodisha laptop kwa mwezi

kaka9

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
280
Reaction score
113
habari wadau
natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo
kubaliana ,ambaye yuko tayari anicheki kwa namba yangu 0687234549 asanteni.
note:laptop iwe na ram 4 na processor 2 kuendelea,yani iwe na speed ya kuridhisha kidogo.
 
Laptop ipo nipo,napatikana Tunduma.
 
habari wadau
natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo
kubaliana ,ambaye yuko tayari anicheki kwa namba yangu 0687234549 asanteni.
note:laptop iwe na ram 4 na processor 2 kuendelea,yani iwe na speed ya kuridhisha kidogo.
Mm ninayo hp envy, i5, 6RAM ,1TB, touchscreen
 
Weka budget yako ili uuziwe badala ya kukodisha, usije ingiza watu matatizoni.
 
Unaweka asset gani, ukikimbia itakuaje?
 
Back
Top Bottom