Laptop ipo nipo,napatikana Tunduma.habari wadau
natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo
kubaliana ,ambaye yuko tayari anicheki kwa namba yangu 0687234549 asanteni.
note:laptop iwe na ram 4 na processor 2 kuendelea,yani iwe na speed ya kuridhisha kidogo.
Ndipo usijfunze tangazo linahitaji kubeba taarifa muhimu.dah nashukuru ndugu yangu ungekuwa Dar ingekuwa vyema,
Mm ninayo hp envy, i5, 6RAM ,1TB, touchscreenhabari wadau
natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo
kubaliana ,ambaye yuko tayari anicheki kwa namba yangu 0687234549 asanteni.
note:laptop iwe na ram 4 na processor 2 kuendelea,yani iwe na speed ya kuridhisha kidogo.
Niuzie mkuuMm ninayo hp envy, i5, 6RAM ,1TB, touchscreen
[emoji23][emoji23][emoji23] siuzi mkuuNiuzie mkuu
Vipi nikitaka kuinunua then nkulipe kwa awamu na tuwekeane mkataba wa maandishi?Kama upo tayari tufanye mkataba kwa maandishi, Hp i5, 8ram na 1tb, window 10
Mimi mwenyewe niko Dar, tatizo hukutaja ulipo. Ulidhani nitapiga ramli chonganishi kufahamu mkoa ulipo.dah nashukuru ndugu yangu ungekuwa Dar ingekuwa vyema,