Habari ndg sorry naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa/matangotango

Habari ndg sorry naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa/matangotango

John kirua

Senior Member
Joined
Dec 7, 2021
Posts
140
Reaction score
107
Polen na majukumu na week end ya jpili nilikuwa nauliza ni dawa gan nzuri kati ya sindano na vidonge nasumbuliwa na mbaa matangotango.
Plz naomba ushauri wenu ndg zangu nipote ili tatzo n muda...
 
Pole sana.

Ni vyema ukafika hospital uonane na daktari ili akufanyie uchunguzi na akupatie dawa sahihi.

Kila la kheri.
 
Pole mkuu japo ni gharama ila hospital muhimu
 
Back
Top Bottom