johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
RIP Sabodo πΌMradi huo utakuwa kipimo iwapo wanaweza kuendesha nchi.
kwa sasa hizo si habari tunazotaka kusikia, zije baada ya matokeo. Tunasubiri kusikia Lissu ameshindaKatibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema Chama chake kimeamua Kufanya Uwekezaji mkubwa kwenye Shamba lake la Kibaha
Uwekezaji huo utahusisha Miradi mbalimbali ya Huduma na Uzalishaji
Aidha Chuo Kikuu Cha Bavicha kitajengwa shambani hapo
Source: Clouds TV
Heri Fisi ana Machale kuliko Nyumbu πππNaona Mbowe kaandaa taarifa ndeefu za kuupamba na kuusifu uongozi wake ili kuwapoteza maboya wajumbe. Yani habar za kiwanja zinaelezwa wakati wa kupiga kura!!
kitaitwa Mwamba Mbowe memorial universityKwahiyo kitaitwa Bavicha University Kibaha campus au..
Nasikia leo kwasalimia wajumbe shikamoo ukimbini. Joto linapanda na kushuka. Tanesco nao wapo busy kukata umemekitaitwa Mwamba Mbowe memorial university
Mbele ya hela Mbowe atafanya lolote si unakumbuka alivyomleta Lowassa chadema.Nasikia leo kwasalimia wajumbe shikamoo ukimbini. Joto linapanda na kushuka. Tanesco nao wapo busy kukata umeme
wewe a chdema , sijui nisemeje.... kuna siku utaletwa............Katibu mkuu wa CHADEMA mh Mnyika amesema Chama chake kimeamua Kufanya Uwekezaji mkubwa kwenye Shamba lake la Kibaha
Uwekezaji huo utahusisha Miradi mbalimbali ya Huduma na Uzalishaji
Aidha Chuo Kikuu Cha Bavicha kitajengwa shambani hapo
Source: Clouds TV
Mbona unatetemekawewe a chdema , sijui nisemeje.... kuna siku utaletwa............
diploma wanasoma dull students kama wewe. Au Nguin wanasoma watMbona unatetemeka
Utapata Fursa ya kusoma diploma hapo Bavicha University π