Habari Njema: CHADEMA kufanya uwekezaji mkubwa kwenye shamba lake la Kibaha ikiwemo Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Bavicha na Miradi ya Uzalishaji Mali

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu mkuu wa CHADEMA mh Mnyika amesema Chama chake kimeamua Kufanya Uwekezaji mkubwa kwenye Shamba lake la Kibaha

Uwekezaji huo utahusisha Miradi mbalimbali ya Huduma na Uzalishaji

Aidha Chuo Kikuu Cha Bavicha kitajengwa shambani hapo

Source: Clouds TV
 
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema Chama chake kimeamua Kufanya Uwekezaji mkubwa kwenye Shamba lake la Kibaha

Uwekezaji huo utahusisha Miradi mbalimbali ya Huduma na Uzalishaji

Aidha Chuo Kikuu Cha Bavicha kitajengwa shambani hapo

Source: Clouds TV
kwa sasa hizo si habari tunazotaka kusikia, zije baada ya matokeo. Tunasubiri kusikia Lissu ameshinda
 
Hahaha umesahau kusema ni matunda ya mwenyekiti Mbowe hayo.
Mitano tena.
 
Naona Mbowe kaandaa taarifa ndeefu za kuupamba na kuusifu uongozi wake ili kuwapoteza maboya wajumbe. Yani habar za kiwanja zinaelezwa wakati wa kupiga kura!!
 
Mtaendelea na hiyo mipango hata Mwenyekiti akiwa Lissu ?🐼
 
Katibu mkuu wa CHADEMA mh Mnyika amesema Chama chake kimeamua Kufanya Uwekezaji mkubwa kwenye Shamba lake la Kibaha

Uwekezaji huo utahusisha Miradi mbalimbali ya Huduma na Uzalishaji

Aidha Chuo Kikuu Cha Bavicha kitajengwa shambani hapo

Source: Clouds TV
wewe a chdema , sijui nisemeje.... kuna siku utaletwa............
 
Back
Top Bottom