Habari njema kwa nchi, gesi nyingine ya Helium yagunduliwa Bonde la Ziwa Nyasa. Tanzania kuwa muuzaji kinara Duniani

Ww km ndo kiongozi wa familia wana hasara .Kwa hiyo mgunduzi na tech yake ndo afaidi kuliko mwenye mali ...ndo maana unashangilia chama cha machizi maana huna akili.
Wewe unadhani Nani atafaidika? Ulikuwa unajua kwamba Kuna Mali? Si ulikuwa unazungusha matako yako tuu Kama boya?
 
Okay Sasa Kama ndio hivyo kwa Nini hizo kampuni za US badala ya kutoa hongo washike na migodi ya Tanzania ili waendelee ku regulate Bei ya soko na sie Kama Nchi kupata chetu kuliko kuhonga watawala..

Je makampuni yanayofanywa exploration nayo yatakubali hongo na wakati yameinvest Pesa zao hapo?

Hii unaweza kuwa kashfa nzuri tuu mbona.
 
Habari wadau,

Habari njema kwa Tanzania ni kwamba, imefanikiwa kugundua Gas nyingine ya Helium Kaskazini ya Bonde la Ziwa Nyasa eneo la Matema wilaya ya Kyela mkoani Mbeya...
Inakatisha tamaa pamoja na kwamba ni habari nzuri kwani Tanzania hatuonekani kufaidika na rasilimali hizi kama gesi kule Mtwara, Chuma, dhahabu, almasi, makaa ya mawe Liganga, graphite nk.
 
Ukiangalia kwa mtizamo huoninakosea kwa sababu Hakuna sheria inayolazimisha sehemu ya faida kubakia maeneo hayo ukiacha csr ambayo Ni kiduchu Sana...
Hii ni point ya maana. Lets say 60% iende mfuko mkuu, 40% iboreshe uchumi wa eneo husika na maeneo yanayozunguka. Hii itasaidia uchumi kutawanyika na sio kubaki dsm.
 
Inakatisha tamaa pamoja na kwamba ni habari nzuri kwani Tanzania hatuonekani kufaidika na rasilimali hizi kama gesi kule Mtwara, Chuma, dhahabu, almasi, makaa ya mawe Liganga, graphite nk.
Haya mafanikio yangeonekana iwapo tusingejikita kuijenga dar tu.
 
Ujinga upi? Tunanufaika kwa umeme na mradi wa LPG unakuja Til.80 zitaingia kwenye Uchumi wetu.
Unanufaika na nini?Hizi rasilimali zote tulizonazo hata uwezo wa kusambaza maji safi Serikali haina hiyo Heliam itaongeza nini?Labda kama upo kwenye chain ya walamba asali ndio shangilieni mmepata chaka lingine Nyuki nyie
 
Unanufaika na nini?Hizi rasilimali zote tulizonazo hata uwezo wa kusambaza maji safi Serikali haina hiyo Heliam itaongeza nini?Labda kama upo kwenye chain ya walamba asali ndio shangilieni mmepata chaka lingine Nyuki nyie
Kuwa na rasilimali bila kuzitumia ni bure tuu Sasa subiria zivunwe ndio zilete hayo maji,maji huletwa na Pesa sio porojo
 
Kwa sababu huwezi kujua nani atakuwa raisi wa Tanzania mwaka kesho, na atakuwa na msimamo gani.

Na pia wanaogopa kutoa kitu ambacho itaonekana wazi ni rushwa. Kumbuka hizi ni listed companies, na skendo yeyote kuwahusu inaweza kushusha thamani ya hisa zao wakafilisika. Na pia katika Corporate laws za nchi zao, kutoa rushwa hata nje ya nchi zao ni hatari sana, ukifahamika ni jela tu.

Ni rahisi zaidi kufanya jambo ambalo una uhakika litachelewesha uchimbaji wa Helium kwa angalau miaka 15 ijayo, hata kama akija rais mwenye msimamo mkali.
 
Tanzania ipi kuwa kinara Mkuu hao wakigundua gesi wao wanaongeza Tozo na kuiba vifurushi kwa Wananchi hizo mambo sio za Watanzania ingawaje vipo kwenye ardhi ya Tanzania...
 
WAla
Hakuna cha njema kwa wananchi

Zaidi ya matesoo kwa wananchi

Utasikia mda si mrefu wanaoishi hapo anatakiwa wahame hata bila kulipa fidia.

Ooo waliopo hapo ni wavamizii subiri kidogo tuuu.
 
Hallelujah!
Mwenye Enzi Mungu ni mwema na mwaminifu sana kwetu walahi![emoji2972]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…