Habari njema kwa wanaume sote

Habari njema kwa wanaume sote

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
[emoji121]
WAKUU,

KASI YA NDUGU ZETU WA JINSIA YA PILI KUMIMINIKA KWA MASANGOMA KUTAFUTA LIMBWATA LA KUWAGEUZA WAUME ZAO MAZEZETA IMESHIKA HATAMU SANA KWA SASA,
KWA WANANDOA NA HATA WALE WASIOKUWA NA MAHUSIANO YA NDOA.

MWAKA JANA NILIPOONDOKA KUTOKA MTWARA NILIPITIA SONGEA,
KUNA RAFIKI YANGU MMOJA PALE ANA BABU YAKE YUPO KIJIJI CHA [HASHTAG]#LIKULUFUSI[/HASHTAG],
TULIENDA KUMSABAHI-
WAKATI TUNAMUAGA AKATWAMBIA

"Vijana wangu chukueni baraka zangu, hii ni kinga dhidi ya limbwata.
Ukifanyiwa limbwata unagundua-
Na matokeo yake humgeukia mfanyaji na anakuja kukuomba msamaha."

AKATUKABIDHI UNGA WA MIZIZI ILIYOSAGWA AKISISITIZA TUJITAHIDI KULAMBA ANGALAU MARA 4 KWA MWAKA.
-------------
MPAKA SASA MALIMBWATA TAKRIBANI 9 HAPA YAMESHABUMA HAPA!!!
---
TO MAKE A LONG STORI SHORT,
DAWA YA ANTILIMBWATA IPO,
HII NI NOUMAH,
UKIIPATA KAMWE HUTOJUTA!!

NI LAZIMA TUHESHIMIANE!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda huo unatoka wapi jamani. Tuko busy kupambana na maisha sasa hivi hakuna mwanamke anayetaka kugandana na mwanaume kutwa kucha.

Mana huwa nasikia libwata sifa yake ni kugandana. Hivyo unakuta hata ukitaka kwenda dukani mwanaume anataka wende naye sasa ya nini yote hayo.
 
Limbwata ni ujinga wako tu,,,,,,acha michepuko.Kama kuna mke anakupiga limbwata itakuwa umeoa jini mkuu
 
Mods mmechukua MALIPO ya hili TANGAZO? [emoji53]

#krav_maga
 
Back
Top Bottom