Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mods mmechukua MALIPO ya hili TANGAZO? [emoji53]
#krav_maga
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mods mmechukua MALIPO ya hili TANGAZO? [emoji53]
#krav_maga
Wakikujibu fanya kun tag.Mods mmechukua MALIPO ya hili TANGAZO? [emoji53]
#krav_maga
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12]Limbwata ni ujinga wako tu,,,,,,acha michepuko.Kama kuna mke anakupiga limbwata itakuwa umeoa jini mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duhIfike mahali usahau yaliyopita ili uweze kusamehe usamehewe. Doris
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahhah nimecheka sana ujueMuda huo unatoka wapi jamani. Tuko busy kupambana na maisha sasa hivi hakuna mwanamke anayetaka kugandana na mwanaume kutwa kucha.
Mana huwa nasikia libwata sifa yake ni kugandana. Hivyo unakuta hata ukitaka kwenda dukani mwanaume anataka wende naye sasa ya nini yote hayo.
Sio kusamehe kwa wanaume hawa Wa .comIfike mahali usahau yaliyopita ili uweze kusamehe usamehewe. Doris
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa. Umecheka nini tena dada ake?Ahahahhah nimecheka sana ujue
Ahahha huo mda dada akee wa kuwaroga yaan umemaliza yote nani anataka kugandana mda wote mtu yupo nyuma yako ujue wanaongea tu kuhusu limbwata hawajui hawa linavyofanya kaziHahaaa. Umecheka nini tena dada ake?
Hawajui tu mi nshashuhudia mmoja Arusha yaani yeye mke wake alikuwa mfanyabiashara hizi za kutembeza na huyo baba alikuwa kaajiriwa kwenye kampuni moja hivi sasa huyo mama kumbe alimfanyia hilo sijui ndio libwata huyo baba, huwezi kuamini dada ake huyo baba hakutaka kwenda kazini kutwa anataka afuatane na mke wake kwenye biashara.Ahahha huo mda dada akee wa kuwaroga yaan umemaliza yote nani anataka kugandana mda wote mtu yupo nyuma yako ujue wanaongea tu kuhusu limbwata hawajui hawa linavyofanya kazi
Kweli kabisa limbwata ulisikie tu mana huyo baba na kazi sijui kama aliendeleaHawajui tu mi nshashuhudia mmoja Arusha yaani yeye mke wake alikuwa mfanyabiashara hizi za kutembeza na huyo baba alikuwa kaajiriwa kwenye kampuni moja hivi sasa huyo mama kumbe alimfanyia hilo libwata huyo baba, huwezi kuamini dada ake huyo baba hakutaka kwenda kazini kutwa anataka afuatane na mke wake kwenye biashara.
Ilifikia kipindi huyo mama akawa anajuta kwa alichomfanyia mume wake
Hivyo wakae wakijua tunataka mapenzi ya kawaida ila sio ya kugandana masaa yote. Tutatafuta pesa saa ngapi?
Hakuendelea tena dada ake.Kweli kabisa limbwata ulisikie tu mana huyo baba na kazi sijui kama aliendelea
Mzima sana dada ake sijui wewe jaman ila wana moyo wanaowafanyia waume zao limbwata kule ni kujitoa muhangaHakuendelea tena dada ake.
Mzima lakini?
Kwani limbwata ni ipoje maana nasikia saana ila unasema kujitoa mhanga kwani ipojeMzima sana dada ake sijui wewe jaman ila wana moyo wanaowafanyia waume zao limbwata kule ni kujitoa muhanga
Kujitoa muhanga kama haumpendi mumeo mtu ambae unampenda mumeo sidhani kama unaweza mfanyia hizo mamboKwani limbwata ni ipoje maana nasikia saana ila unasema kujitoa mhanga kwani ipoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzima sana dada ake sijui wewe jaman ila wana moyo wanaowafanyia waume zao limbwata kule ni kujitoa muhanga
Shunie ujue hii yote wanayataka wanaume hawatuliii hawaliziki mwanamke kama Mimi nishatendwa nishaumizwa inafika wakati naitaji mtu wakunipa furaha,nataka kufurahi nitulie namtu unakuta hajatulia heeeee dawa ndio hiyo ila umfanyie mmpendane sio unamfanyia umnyanyase hata Mungu hapendiKujitoa muhanga kama haumpendi mumeo mtu ambae unampenda mumeo sidhani kama unaweza mfanyia hizo mambo