Habari njema kwa wanaume sote

Habari njema kwa wanaume sote

Kama kuna mwanamke analijua Limbwata aje anilishe,nalihitaji sana!
 
Love is that which does not hold.. Dr. Maya Angelou..

Tatizo dunia ya leo wanamama wapo very entitled.. Na ndio maana malezi na ndoa zimekuwa ngumu.

Zamani mtu alikuwa anajipima na anagundua hatoshi mume akimuacha sawa.. Akiona watoto hawawezi kukua vizuri anawapeleka kwa Dada, au kaka mwenye kulea vema.

Siku hizi.kila mtu anaweza.. Almaarufu (tuchukuliane) mh! Huwa najiuliza.. Hivi hakuna namna wanaume nao huwa wanakuwa duped kuingia kwenye ndoa/mahusiano??? Ukitokea uliangukia mtego ukitaka kutoka unakuwa mbaya?! Au mbaya aliyekuingiza mtegoni???

Ukiona unapaswa kumwekea mtu limbwata.. Au unasema mpk mishipa ya shingo inasimama Dede.. Ujue.hakuna kitu hapo. Angalia mbele. Mshikaji wako tu mnayeshibana tabia zinajiallign bila kuambiana.. Kwakuwa mnasomana na mnakubaliana. Naturally unajifunza kumuheshimu kwa kila hali.. Na mkitofautiana kimtazamo mnaelewana pia kwakuwa kuna upendo kati yenu. Na unaona kuna jitihada.. Anawakumbuka ndugu zako.. Shida.zako.. Interest zako. Anakuwa.supporter.

Sasa hawa wake siku hizi ndio shida.. Haonyeshi interest yoyote na maisha yako.. Ukimrekebisha humpendi..umepata mwingine.. Ukikausha ..(lawama kama humwambii atajifunzaje) akifundishwa ..anafanya pale anapokuudhi tu.. Au anapoona kuna sintofahamu. Hii nidhamu ya kibwege sidhani kama kuna ndoa zitadumu hata wiki in the next century.
 
Shunie ujue hii yote wanayataka wanaume hawatuliii hawaliziki mwanamke kama Mimi nishatendwa nishaumizwa inafika wakati naitaji mtu wakunipa furaha,nataka kufurahi nitulie namtu unakuta hajatulia heeeee dawa ndio hiyo ila umfanyie mmpendane sio unamfanyia umnyanyase hata Mungu hapendi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom