Habari njema kwa wanaume sote

Ahahahhah nimecheka sana ujue
 
Hahaaa. Umecheka nini tena dada ake?
Ahahha huo mda dada akee wa kuwaroga yaan umemaliza yote nani anataka kugandana mda wote mtu yupo nyuma yako ujue wanaongea tu kuhusu limbwata hawajui hawa linavyofanya kazi
 
Ahahha huo mda dada akee wa kuwaroga yaan umemaliza yote nani anataka kugandana mda wote mtu yupo nyuma yako ujue wanaongea tu kuhusu limbwata hawajui hawa linavyofanya kazi
Hawajui tu mi nshashuhudia mmoja Arusha yaani yeye mke wake alikuwa mfanyabiashara hizi za kutembeza na huyo baba alikuwa kaajiriwa kwenye kampuni moja hivi sasa huyo mama kumbe alimfanyia hilo sijui ndio libwata huyo baba, huwezi kuamini dada ake huyo baba hakutaka kwenda kazini kutwa anataka afuatane na mke wake kwenye biashara.

Ilifikia kipindi huyo mama akawa anajuta kwa alichomfanyia mume wake

Hivyo wakae wakijua tunataka mapenzi ya kawaida ila sio ya kugandana masaa yote. Tutatafuta pesa saa ngapi?
 
Kweli kabisa limbwata ulisikie tu mana huyo baba na kazi sijui kama aliendelea
 
Watu watatapeliwa kwa hili Tangazo

Habeeb Marhan
 
Kujitoa muhanga kama haumpendi mumeo mtu ambae unampenda mumeo sidhani kama unaweza mfanyia hizo mambo
Shunie ujue hii yote wanayataka wanaume hawatuliii hawaliziki mwanamke kama Mimi nishatendwa nishaumizwa inafika wakati naitaji mtu wakunipa furaha,nataka kufurahi nitulie namtu unakuta hajatulia heeeee dawa ndio hiyo ila umfanyie mmpendane sio unamfanyia umnyanyase hata Mungu hapendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hata nikijifikilia nina nini hadi nipewe limbwata au hichi kifimbo changu kilicho pinda kushoto[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata nyau anacho

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…