Sammo Hung
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,151
- 1,321
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Shunie ujue hii yote wanayataka wanaume hawatuliii hawaliziki mwanamke kama Mimi nishatendwa nishaumizwa inafika wakati naitaji mtu wakunipa furaha,nataka kufurahi nitulie namtu unakuta hajatulia heeeee dawa ndio hiyo ila umfanyie mmpendane sio unamfanyia umnyanyase hata Mungu hapendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika