Mkuu umeumia sana pole sana nani amekutuma uje jukwaa hili, Sindano zimeingia una malapa nyumbani kwenu nini ahaaaa umeumia sana eeehHuu ushauri mpelekee na mama yetu nyumbani, mwambie mama inabidi hilo lapa liwe saa sita, dawa ninayo. Umpakae hadi lisimame. Nadhani dingiako atakuzawadia tu bwashee.
Mmhh! Mbona kama umehuzunika??Some men are not bugged by sagged breasts.
They appreciate them knowing that they fed a little human being and that by itself is nothing short of a miracle.
LOL.... Ntafanya hivyo ngoja nisome upyaKasimamishe nyonyo
hamna mkuu kawaida tupovu la kiwango cha shithole
Nope.Mmhh! Mbona kama umehuzunika??
tatizo watu hawasomi mpaka mwisho na kusikiliza clip tena walitakiwa wanipongeze coz ndoa au mahusiano yao yataimarikaJamani mtoa mada hana kosa lolote, amekuja na suluhisho kwa wenye tatizo hilo.
Sasa mnaanza kuingiza mambo ya MAMA, acheni asee
Sio kila post lazima ucomment
umri wake umeisha mtupa mkono, hii tiba ni kwa ajili ya wadada ambao damu inachemka wanahitaji malove kwa wenza wao but wamepoteza mvuto na kuachwa au uwezekano wa kuachwa wapweke ni mkubwa vidume vikafuata chuchu konzianza na mamako mkuu ulete mrejesho[emoji39]
tatizo kubwa la waafrika ni kusoma kidogo kisha kujipa majibu lukuki matokeo yake tunatukanwa na wazunguYeye tatizo lake si kuzeeka kwa matiti,ametolea anachokiita dawa uzinzi.Kasema moja ya sababu za wanaume kutoka nje ya ndoa ni matiti ya wake zao kuwa malapa.Lakini,nina imani wengi wao michepuko yao yamelala zaidi. Unadhani kweli hiyo ni sababu au hulka ya mtu tu🙂
sawa mkuuumri wake umeisha mtupa mkono, hii tiba ni kwa ajili ya wadada ambao damu inachemka wanahitaji malove kwa wenza wao but wamepoteza mvuto na kuachwa au uwezekano wa kuachwa wapweke ni mkubwa vidume vikafuata chuchu konzi
Ungekuwa mwanaume ungejua umuhimu wa chuchu saa sita... yanavumilika ktk mazingira gani jamaa akiwa kalewa au anakula mzigo huku image kichwan mwake ni ya kabint kengine?Ila bwana maziwa malapa yanavumilika na gemu linaenda vzr. .. hayakati stimu kama kimabia kha..bila kukohoa ukijiongelesha tu ooh ooh kinafyatuka kule [emoji23][emoji40][emoji40][emoji40]