Habari njema kwa wanawake wenye matiti yaliyochapa usingizi

Habari njema kwa wanawake wenye matiti yaliyochapa usingizi

Huu ushauri mpelekee na mama yetu nyumbani, mwambie mama inabidi hilo lapa liwe saa sita, dawa ninayo. Umpakae hadi lisimame. Nadhani dingiako atakuzawadia tu bwashee.
Mkuu umeumia sana pole sana nani amekutuma uje jukwaa hili, Sindano zimeingia una malapa nyumbani kwenu nini ahaaaa umeumia sana eeeh
 
Some men are not bugged by sagged breasts.

They appreciate them knowing that they fed a little human being and that by itself is nothing short of a miracle.
Mmhh! Mbona kama umehuzunika??
 
Wakiletewa mada zile za kukashifu wanawake mabwawa, gogo, na nyingine mbaya wala hawaumuki kwa hasira.

Hii kaja na msaada(kama kweli inatibu) kwa wanawake wenye matiti ya muundo huo wanaanza kumtukana yeye na kumshambulia mama yake pia.

Mama yake amekwisha zeeka sasa matiti yaliyosimama si muhimu sana kwake.

Watu wanashangaza sana!!
 
Yeye tatizo lake si kuzeeka kwa matiti,ametolea anachokiita dawa uzinzi.Kasema moja ya sababu za wanaume kutoka nje ya ndoa ni matiti ya wake zao kuwa malapa.Lakini,nina imani wengi wao michepuko yao yamelala zaidi. Unadhani kweli hiyo ni sababu au hulka ya mtu tu🙂
 
huwa najiuliza ni kwanini siku hizi kumezuka na tabia ya watu kudhihaki maumbile ya watu wengine. Je ni kwamba mtu anajichagulia umbile la kuumbwa nalo tangu anazaliwa.
 
Jamani mtoa mada hana kosa lolote, amekuja na suluhisho kwa wenye tatizo hilo.

Sasa mnaanza kuingiza mambo ya MAMA, acheni asee

Sio kila post lazima ucomment
tatizo watu hawasomi mpaka mwisho na kusikiliza clip tena walitakiwa wanipongeze coz ndoa au mahusiano yao yataimarika
 
anza na mamako mkuu ulete mrejesho[emoji39]
umri wake umeisha mtupa mkono, hii tiba ni kwa ajili ya wadada ambao damu inachemka wanahitaji malove kwa wenza wao but wamepoteza mvuto na kuachwa au uwezekano wa kuachwa wapweke ni mkubwa vidume vikafuata chuchu konzi
 
Mkuu umeumia sana pole sana nani amekutuma uje jukwaa hili, Sindano zimeingia una malapa nyumbani kwenu nini ahaaaa umeumia sana eeeh
hahahahaha! wanapewa suluhisho wanakuwa wakali
 
Yeye tatizo lake si kuzeeka kwa matiti,ametolea anachokiita dawa uzinzi.Kasema moja ya sababu za wanaume kutoka nje ya ndoa ni matiti ya wake zao kuwa malapa.Lakini,nina imani wengi wao michepuko yao yamelala zaidi. Unadhani kweli hiyo ni sababu au hulka ya mtu tu🙂
tatizo kubwa la waafrika ni kusoma kidogo kisha kujipa majibu lukuki matokeo yake tunatukanwa na wazungu
 
umri wake umeisha mtupa mkono, hii tiba ni kwa ajili ya wadada ambao damu inachemka wanahitaji malove kwa wenza wao but wamepoteza mvuto na kuachwa au uwezekano wa kuachwa wapweke ni mkubwa vidume vikafuata chuchu konzi
sawa mkuu
 
Lakini mbona kwenye video huyo trainer mwenyewe matiti yake yamelala??? Nilitegemea nione yeye akiwa na chuchu saa sita
 
Ila bwana maziwa malapa yanavumilika na gemu linaenda vzr. .. hayakati stimu kama kimabia kha..bila kukohoa ukijiongelesha tu ooh ooh kinafyatuka kule [emoji23][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Ila bwana maziwa malapa yanavumilika na gemu linaenda vzr. .. hayakati stimu kama kimabia kha..bila kukohoa ukijiongelesha tu ooh ooh kinafyatuka kule [emoji23][emoji40][emoji40][emoji40]
Ungekuwa mwanaume ungejua umuhimu wa chuchu saa sita... yanavumilika ktk mazingira gani jamaa akiwa kalewa au anakula mzigo huku image kichwan mwake ni ya kabint kengine?
 
Back
Top Bottom