GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Mkuu umeumia sana pole sana nani amekutuma uje jukwaa hili, Sindano zimeingia una malapa nyumbani kwenu nini ahaaaa umeumia sana eeehHuu ushauri mpelekee na mama yetu nyumbani, mwambie mama inabidi hilo lapa liwe saa sita, dawa ninayo. Umpakae hadi lisimame. Nadhani dingiako atakuzawadia tu bwashee.