Habari njema kwako Bachelor mwenzangu

Habari njema kwako Bachelor mwenzangu

aisee boss sipo tayari kuukacha ubachela!. ila mpaka sasa walionitangulia comments hawajagundua kua unampigia PROMO dada yako alie jobless na mmemchoka hapo kwenu!. mmeamua mumtafutie mme kidizaini flani haitaleta suspect!

hahahahaaaa noma kweli!.
Duh hili ni shambulio kali sana mkuu,yaani ulivyoongea kama vile mm na ww tunafahamiana.

Sina dada ambaye kwa sasa ni jobless na hata anagekuwepo sidhani km naweza fikia hatua ya kumnadi mtandaoni.Hebu waache wenzio wenye uhitaji waamue wenyewe we achana na hii promo ya huyu dada yangu Jobless.Asante kwa mchango wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shukrani kwa jibu la busara lisiloonesha panic! inaonesha ni jinsi gani ulivo kua na busar katika mwandiko wako! sasa naomba niulize huyu binti mwenyewe unaemnadi je amekubaliana na unachokifanya hapa!?
 
Mi nachokifanya hapa ni kutaka kumpa mtu connection na nitakuwa km muunganishaji na hapa sio kwamba namhujumu huyu binti la hasha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom