Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maswali ni ngumu mm kukujibu mkuu,mi ambacho nakifahamu ni kuwa hana mahusiano na yupo ss kujua wanaume wengine wanakwama.wapi kwa kweli sijuiWewe umeshindwa kwa sababu za mila,wanaume wengine wote wamekwama wapi na yeye wanaomfahamu?
Hahahahaba mkuu bado tu hujaacha???NONSENSE
Duh hili ni shambulio kali sana mkuu,yaani ulivyoongea kama vile mm na ww tunafahamiana.aisee boss sipo tayari kuukacha ubachela!. ila mpaka sasa walionitangulia comments hawajagundua kua unampigia PROMO dada yako alie jobless na mmemchoka hapo kwenu!. mmeamua mumtafutie mme kidizaini flani haitaleta suspect!
hahahahaaaa noma kweli!.
24
Mkuu huyo binti ningependa kujaribu bahati yangu kama atakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani kwa jibu la busara lisiloonesha panic! inaonesha ni jinsi gani ulivo kua na busar katika mwandiko wako! sasa naomba niulize huyu binti mwenyewe unaemnadi je amekubaliana na unachokifanya hapa!?Duh hili ni shambulio kali sana mkuu,yaani ulivyoongea kama vile mm na ww tunafahamiana.
Sina dada ambaye kwa sasa ni jobless na hata anagekuwepo sidhani km naweza fikia hatua ya kumnadi mtandaoni.Hebu waache wenzio wenye uhitaji waamue wenyewe we achana na hii promo ya huyu dada yangu Jobless.Asante kwa mchango wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka anaswali na madrasa alipita..Maswali mengine maelezo unaweza kunifuata PM maana hapa maelezo yanaweza kuwa mengi then ukajikuta competition inaongezekaMkuu je, anaswali?
Mi nachokifanya hapa ni kutaka kumpa mtu connection na nitakuwa km muunganishaji na hapa sio kwamba namhujumu huyu binti la hasha..shukrani kwa jibu la busara lisiloonesha panic! inaonesha ni jinsi gani ulivo kua na busar katika mwandiko wako! sasa naomba niulize huyu binti mwenyewe unaemnadi je amekubaliana na unachokifanya hapa!?
pm inagoma kufunguka mkuuBila shaka anaswali na madrasa alipita..Maswali mengine maelezo unaweza kunifuata PM maana hapa maelezo yanaweza kuwa mengi then ukajikuta competition inaongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app