Habari njema sana kwa wamiliki wa magari

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
1,550
Reaction score
1,742
Kuanzia sasa, Serikali yetu, Awamu ya Sita, imeamua kununua mafuta moja kwa moja kutoka nchi marafiki.

No mtu kati tena!
 
Kwahiyo Haya Mabeberu Oilcom, PUMA, Na Mengine Yatafanyaje

Fafanua Ueleweke Siyo Rahisi Thread Yako Kueleweka Kwa Sisi

Watu Wa Madrasa
 
Ni kwamba Mtu kama Dubai, Iran, Kuwait, nk, wanajenga vituo vyao vikubwa sana hapa Tanzania. Hivyo Serikali hizo zinaleata mafuta hayo moja kwa moja hapa.

Sasa ndio unanunua kama unavyonunua OilCom.
 
SSawa Sawa
Umeeleweka Vema
 
Ni kwamba Mtu kama Dubai, Iran, Kuwait, nk, wanajenga vituo vyao vikubwa sana hapa Tanzania. Hivyo Serikali hizo zinaleata mafuta hayo moja kwa moja hapa.
Sasa ndio unanunua kama unavyonunua OilCom.

Vituo vinakuwa chini ya usimamiz wa serikali?

Na bei ya mafuta itaringana na bei za vituo vya apa mkuu Mwalaye? Au tutauziwa bei rahisi zaidi?
 
Kuanzia sasa, Serikali yetu, Awamu ya Sita, imeamua kununua mafuta moja kwa moja kutoka Nchi marafiki.
No mtu kati tena!
Mafuta yasafishwe nchini itaongeza ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi. Mwl. hakuwa mjinga kuanzisha TIPER mafisadi ndani ya chama wakaja kuuwa kile kiwanda. Mh. Samia tufute machozi; rudisha TIPER ni ajira za kutosha hizo.
 
Ni kwamba Mtu kama Dubai, Iran, Kuwait, nk, wanajenga vituo vyao vikubwa sana hapa Tanzania. Hivyo Serikali hizo zinaleata mafuta hayo moja kwa moja hapa.
Sasa ndio unanunua kama unavyonunua OilCom.
Inamaana Dubai, Kuwait na wengine kunaushindani/shida wa kutafuta wateja wa mafuta mpka wao waje wajenge vituo vyao hapa kwetu?
 
Tpdc anauza mafuta kila siku wewe umejua leo?

Gpsa anauza mafuta kila siku na wananunua watu wa bulk procurement wewe umejua leo?

Shida ya bei ya mafuta ni tozo, tozo ziko nyingi sana.
 
Hii itakuwa sio kwa Tanzania pekee. Nchi zote za Afrika Mashariki na kati!! Wanajenga Depot kubwa sana, hivyo itakuwa ni kama visima!!
 
Back
Top Bottom