HABARI NZURI: Sporting Lisbon yatenga billioni 23 kwa Fei Toto

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Sporting Lisbon ya Ureno imetenga USD millioni 10 kumnunua Fei Toto mwezi wa Januari. Hiyo itakuwa ofa ya pili kwa Yanga kuingiza mabilioni baada ya kumuuza Clement Mziza kinako club ya Marseille ya France.

Fei Toto atavunja rekodi ya mchezaji ghali kuuzwa kutoka Ligi ya Afrika.
 
Mkuu weka basi na ushahidi hii habari ilipotokea?

Maana clement mziza anaonekana bado yupo
 
Mkuu weka basi na ushahidi hii habari ilipotokea?

Maana clement mziza anaonekana bado yupo
Na huyo dogo hakuuzwa ila ukimsikia yule mkurugenzi wao mkongo ambaye aliwahi kuwa kocha ni kuwa kuna makubaliano akapate fursa ya kwenda kuendeleza kipaji chake na kama itatokea fursa zaidi ndipo yanga wata nufaika na wao

Ni kama ilivyo wahi tokea kwa kapombe toka simba kwenda ufaransa mwisho wa siku uvumilivu ulimshinda akarejea Azam na sasa karejea tena simba
 
Kama ni kweli hili linaendakuwa pigo kwetu wananchi

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Pigo kwako? Yani huna roho mbaya... hutaki kufurahia maendeleo ya mchezaji kwanza, ubinafsi mwingi... nyie ndio viongozi mnao katisha ndoto za wachezaji kwa tamaa zenu

Mna nufaika nyie na wachezaji wana bakia masikini
 
Yanga unaichukulia bilioni 23 Kama mzaha eee, Kwa taarifa yako hizo ni Dola milioni 10. Sasa nikuambie tu sporting Lisbon hawezi kutoa pesa hiyo kutoka Kwa mchezaji wa ligi yetu. Acheni utoto asee hiyo pesa siyo ya kuitajataja Kwa wachezaji wa Utopolo.
 
Umeamua kukosa akili makusudi
 
Huku kwetu charambe Kuna mtaa unaitwa Ureno nafikir unazungumzia hiyo mkuu.
 
dunia inaenda kusimama!~
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…