HABARI NZURI: Sporting Lisbon yatenga billioni 23 kwa Fei Toto

HABARI NZURI: Sporting Lisbon yatenga billioni 23 kwa Fei Toto

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Sporting Lisbon ya Ureno imetenga USD millioni 10 kumnunua Fei Toto mwezi wa Januari. Hiyo itakuwa ofa ya pili kwa Yanga kuingiza mabilioni baada ya kumuuza Clement Mziza kinako club ya Marseille ya France.

Fei Toto atavunja rekodi ya mchezaji ghali kuuzwa kutoka Ligi ya Afrika.
 
Sporting lisbon ya ureno imetenga usd millions 10 kumnunua fei toto mwezi wa january
Hiyo itakuwa ofa ya pili kwa yanga kuingiza mabilions baada ya kumuuza clement mziza kinako club ya marseille ya france
Fei toto atavunja rekodi ya mchezaji ghali kuuzwa toka ligi ya afrika
Mkuu weka basi na ushahidi hii habari ilipotokea?

Maana clement mziza anaonekana bado yupo
 
Mkuu weka basi na ushahidi hii habari ilipotokea?

Maana clement mziza anaonekana bado yupo
Na huyo dogo hakuuzwa ila ukimsikia yule mkurugenzi wao mkongo ambaye aliwahi kuwa kocha ni kuwa kuna makubaliano akapate fursa ya kwenda kuendeleza kipaji chake na kama itatokea fursa zaidi ndipo yanga wata nufaika na wao

Ni kama ilivyo wahi tokea kwa kapombe toka simba kwenda ufaransa mwisho wa siku uvumilivu ulimshinda akarejea Azam na sasa karejea tena simba
 
Kama ni kweli hili linaendakuwa pigo kwetu wananchi

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Pigo kwako? Yani huna roho mbaya... hutaki kufurahia maendeleo ya mchezaji kwanza, ubinafsi mwingi... nyie ndio viongozi mnao katisha ndoto za wachezaji kwa tamaa zenu

Mna nufaika nyie na wachezaji wana bakia masikini
 
Yanga unaichukulia bilioni 23 Kama mzaha eee, Kwa taarifa yako hizo ni Dola milioni 10. Sasa nikuambie tu sporting Lisbon hawezi kutoa pesa hiyo kutoka Kwa mchezaji wa ligi yetu. Acheni utoto asee hiyo pesa siyo ya kuitajataja Kwa wachezaji wa Utopolo.
 
Sporting Lisbon ya Ureno imetenga USD millioni 10 kumnunua Fei Toto mwezi wa Januari. Hiyo itakuwa ofa ya pili kwa Yanga kuingiza mabilioni baada ya kumuuza Clement Mziza kinako clubu ya Marseille ya France.

Fei Toto atavunja rekodi ya mchezaji ghali kuuzwa kutoka Ligi ya Afrika.
Umeamua kukosa akili makusudi
 
Sporting Lisbon ya Ureno imetenga USD millioni 10 kumnunua Fei Toto mwezi wa Januari. Hiyo itakuwa ofa ya pili kwa Yanga kuingiza mabilioni baada ya kumuuza Clement Mziza kinako clubu ya Marseille ya France.

Fei Toto atavunja rekodi ya mchezaji ghali kuuzwa kutoka Ligi ya Afrika.
Huku kwetu charambe Kuna mtaa unaitwa Ureno nafikir unazungumzia hiyo mkuu.
 
Sporting Lisbon ya Ureno imetenga USD millioni 10 kumnunua Fei Toto mwezi wa Januari. Hiyo itakuwa ofa ya pili kwa Yanga kuingiza mabilioni baada ya kumuuza Clement Mziza kinako clubu ya Marseille ya France.

Fei Toto atavunja rekodi ya mchezaji ghali kuuzwa kutoka Ligi ya Afrika.
dunia inaenda kusimama!~
1665070062829.png
1665070102525.png
1665070085459.png
 
Back
Top Bottom