Reagan2020
New Member
- Sep 25, 2020
- 2
- 0
Nilikuwa naulizia kuwa hivi inawezekana kupata online copy ya result slip pamoja leaving certificate ya form four?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmemaliza 2013Kwakeli online hiyo process hakuna,labda ufike shule uliyomaliza ulipie then wakiombe tena, pia itachukua mda, umemaliza mwaka gani!?
nenda shulen ulipomaliziaa utavikutaa hua hazipoteii hizo nyalakaNmemaliza 2013