Habari wana JF

Habari wana JF

Edo kissy

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
2,802
Reaction score
7,551
Habar wana jf.

I am a new member here. Kwa majina naitwa Edo kissy naombeni ushirikiano wenu naomba kukaribishwa.

Asanteni
 
Umesahau kuleta vifuatavyo
Passport picha 4
Cheti cha la 7,form 4 na 6
Kitambulisho cha nida, na cha kupigia kura
Barua ya mwenyekiti.
Barua ya mtendaji
Muhuri wa mwanasheria.

Viko wapi?
 
Umesahau kuleta vifuatavyo
Passport picha 4
Cheti cha la 7,form 4 na 6
Kitambulisho cha nida, na cha kupigia kula
Barua ya mwenyekiti.
Barua ya mtendaji
Muhuri wa mwanasheria.

Viko wapi?
Afadhali umemkumbusha kabla hajafutiwa ukaribisho...
 
Back
Top Bottom