Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa kidogo tu, maneno...😂😂😂😂😂Karibu sana, uwe makini na uandishi wako.
Dahhhh......😪Karibu mkuu,Piem unapafahamu?
Afadhali umemkumbusha kabla hajafutiwa ukaribisho...Umesahau kuleta vifuatavyo
Passport picha 4
Cheti cha la 7,form 4 na 6
Kitambulisho cha nida, na cha kupigia kula
Barua ya mwenyekiti.
Barua ya mtendaji
Muhuri wa mwanasheria.
Viko wapi?
Amesahau mambo ya msingi sana..Afadhali umemkumbusha kabla hajafutiwa ukaribisho...
Picha tafadhaliHabar wana jf. Am a new member here. Kwa majina naitwa black monster naomben ushirikiano wenu naomba kukariaishwa. Asanten.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dahDahhhh......😪
Watu na bahati zao kwa mishangazi..😂