Habari ya Eng. Matarra iwe funzo kwa vijana wengine wa upinzani wanaodhani CHADEMA itasimama nao wakipatwa na matatizo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Eng. Japhet Matarra ni kada kindakindaki wa CHADEMA ambaye kwa sasa yuko gerezani Karanga Moshi kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhukumiwa kwa kufanya makosa ya mtandaoni. Ilikuwa aende jela au alipe faini ya Tsh 7m ila kwa bahati mbaya huyu kijana hakuwa na hizo pesa ikambidi aende jela. Ninapoandika uzi huu ndo wanaharakati wa kisiasa huko X wanachangishana Tsh 7m ili kulipa faini na kumtoa kijana jela.

Kupitia post ya Twaha Mwaipaya, kijana Matara amedai kwa mwaka mzima aliokuwa gerezani hakuna mtu aliyewahi kumtembelea wakiwemo wanaCHADEMA wenzake. Nimeshangaa pia hata mkewe hakwenda baada ya kusoma bio yake inayoonyesha kuwa Matara alishaoa kabla ya kwenda jela.

Suala la CHADEMA kumpuuzia mwanachama wake aliyehitaji Tsh 7m tu linafikirisha sana. Kama wanaweza kuhamasishana kuchanga ili kununua gari la kifahari la Lissu inakuwaje wanashindwa kumkumbuka kijana wao anayesota gerezani hadi wanaharakati wa X wajitokeze?

CHADEMA ijitathmini. Pia liwe fundisho kwa vijana wengine wanaofikiri CHADEMA itawasaidia wakati wa shida.

IMG_20240701_101313.jpg

Screenshot_20240701-101125_X.jpg
 
Pole sana mr Matarra
Mwenyekiti analamba asali taratiiiibu toka Magogoni
Masikini asiye na M. 7 atamkumbukia wapi
 
Kwa hiyo unasema unaenda kuvunja sheria unategemea chama cha siasa kikushike mkono au?.

Ikiwa hivyo naona hiyo itakuwa moja ya akili mbovu sana kutoka kwako.

Sheria imewekwa kwa yeyote anayevunja. Mf. Zile amri 10, Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, Waheshimu wazazi wako, Usiue, Usizini, Usiibe, unadhani ni kwa wakiristu tu so ukiwa muislamu hazikuhusu?.

NO, hukumu ipo pale pale kijana wangu.
 
Kwa hiyo mimi nisiyekuwa chawa wa vyama vyenu huko nitalijuaje kosa la J Matara?
Eng. Japhet Matarra ni kada kindakindaki wa CHADEMA ambaye kwa sasa yuko gerezani Karanga Moshi kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhukumiwa kwa kufanya makosa ya mtandaoni. Ilikuwa aende jela au alipe faini ya Tsh 7m ila kwa bahati mbaya huyu kijana hakuwa na hizo pesa ikambidi aende jela. Ninapoandika uzi huu ndo wanaharakati wa kisiasa huko X wanachangishana Tsh 7m ili kulipa faini na kumtoa kijana jela.

Kupitia post ya Twaha Mwaipaya, kijana Matara amedai kwa mwaka mzima aliokuwa gerezani hakuna mtu aliyewahi kumtembelea wakiwemo wanaCHADEMA wenzake. Nimeshangaa pia hata mkewe hakwenda baada ya kusoma bio yake inayoonyesha kuwa Matara alishaoa kabla ya kwenda jela. Suala la CHADEMA kumpuuzia mwanachama wake aliyehitaji Tsh 7m tu linafikirisha sana. Kama wanaweza kuhamasishana kuchanga ili kununua gari la kifahari la Lissu inakuwaje wanashindwa kumkumbuka kijana wao anayesota gerezani hadi wanaharakati wa X wajitokeze?

CHADEMA ijitathmini. Pia liwe fundisho kwa vijana wengine wanaofikiri CHADEMA itawasaidia wakati wa shida.
View attachment 3030483

View attachment 3030484
 
Anaitwa Eng Mattara sijui ni Engineer kweli au ni parody name??

Sielewi kabisa mtu mwenye hadhi ya kuitwa Engineer ina maana ana shahada ya kwanza (Bsc) na kuendelea. Kama ni mhandisi kweli kwa nini alijikita kuandika habari za majungu zisizo ma ushahidi na instead ya kujishughulisha na sekta ya ujenzi au ufundi?

Elimu yetu ina kasoro kama hakuona fursa huko
 
Kwa hiyo unasema unaenda kuvunja sheria unategemea chama cha siasa kikushike mkono au?.

Ikiwa hivyo naona hiyo itakuwa moja ya akili mbovu sana kutoka kwako.

Sheria imewekwa kwa yeyote anayevunja. Mf. Zile amri 10, Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, Waheshimu wazazi wako, Usiue, Usizini, Usiibe, unadhani ni kwa wakiristu tu so ukiwa muislamu hazikuhusu?.

NO, hukumu ipo pale pale kijana wangu.
Hata sahivi watu wa CHADEMA ndiyo wanamtoa
 
Eng. Japhet Matarra ni kada kindakindaki wa CHADEMA ambaye kwa sasa yuko gerezani Karanga Moshi kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhukumiwa kwa kufanya makosa ya mtandaoni. Ilikuwa aende jela au alipe faini ya Tsh 7m ila kwa bahati mbaya huyu kijana hakuwa na hizo pesa ikambidi aende jela. Ninapoandika uzi huu ndo wanaharakati wa kisiasa huko X wanachangishana Tsh 7m ili kulipa faini na kumtoa kijana jela.

Kupitia post ya Twaha Mwaipaya, kijana Matara amedai kwa mwaka mzima aliokuwa gerezani hakuna mtu aliyewahi kumtembelea wakiwemo wanaCHADEMA wenzake. Nimeshangaa pia hata mkewe hakwenda baada ya kusoma bio yake inayoonyesha kuwa Matara alishaoa kabla ya kwenda jela.

Suala la CHADEMA kumpuuzia mwanachama wake aliyehitaji Tsh 7m tu linafikirisha sana. Kama wanaweza kuhamasishana kuchanga ili kununua gari la kifahari la Lissu inakuwaje wanashindwa kumkumbuka kijana wao anayesota gerezani hadi wanaharakati wa X wajitokeze?

CHADEMA ijitathmini. Pia liwe fundisho kwa vijana wengine wanaofikiri CHADEMA itawasaidia wakati wa shida.

View attachment 3030483
View attachment 3030484
mchuma janga hula na wa kwao lakini huyu anakula janga peke yake kwa ujinga aliokuwa anafanya kwani nani alimshawishi afanye hivyo wenzie wana kula asali na kuchangia gari la lissu Erythrocyte
 
Eng. Japhet Matarra ni kada kindakindaki wa CHADEMA ambaye kwa sasa yuko gerezani Karanga Moshi kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhukumiwa kwa kufanya makosa ya mtandaoni. Ilikuwa aende jela au alipe faini ya Tsh 7m ila kwa bahati mbaya huyu kijana hakuwa na hizo pesa ikambidi aende jela. Ninapoandika uzi huu ndo wanaharakati wa kisiasa huko X wanachangishana Tsh 7m ili kulipa faini na kumtoa kijana jela.

Kupitia post ya Twaha Mwaipaya, kijana Matara amedai kwa mwaka mzima aliokuwa gerezani hakuna mtu aliyewahi kumtembelea wakiwemo wanaCHADEMA wenzake. Nimeshangaa pia hata mkewe hakwenda baada ya kusoma bio yake inayoonyesha kuwa Matara alishaoa kabla ya kwenda jela.

Suala la CHADEMA kumpuuzia mwanachama wake aliyehitaji Tsh 7m tu linafikirisha sana. Kama wanaweza kuhamasishana kuchanga ili kununua gari la kifahari la Lissu inakuwaje wanashindwa kumkumbuka kijana wao anayesota gerezani hadi wanaharakati wa X wajitokeze?

CHADEMA ijitathmini. Pia liwe fundisho kwa vijana wengine wanaofikiri CHADEMA itawasaidia wakati wa shida.

View attachment 3030483
View attachment 3030484

Kweli CCM na selikali yake inatesa Watanzania wengi sana. Mkoloni MWEUSI amekuwa mbaya kuliko MKOLONI MWEUPE.....!!
 
Back
Top Bottom