Binadamu sisi wote sio wakamilifu, tumsaidie mwenzetu atoke akasaidie familia yake. Naamini kajifunzaAnaitwa Eng Mattara sijui ni Engineer kweli au ni parody name??
Sielewi kabisa mtu mwenye hadhi ya kuitwa Engineer ina maana ana shahada ya kwanza (Bsc) na kuendelea. Kama ni mhandisi kweli kwa nini alijikita kuandika habari za majungu zisizo ma ushahidi na instead ya kujishughulisha na sekta ya ujenzi au ufundi?
Elimu yetu ina kasoro kama hakuona fursa huko