Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
UWT mmechangia shs ngapi?Acha upotoshaji wewe Netanyahu wa Malinyi. CHADEMA walimtelekeza. Wanaomtoa ni marafiki zake wa mtandaoni ila CHADEMA wanachofanya ni kudandia agenda isiyowahusu.
Uku wajinga ni wengi kama mtoa mada na chawa wengine.wao wanaona mtu akipata shida ndio raha kwao.Wengi wao wana roho mbaya za chuki na husda.Aise keshatoka.
Kapewa hadi hela za kianzio cha maisha.
Jf tujipange kule x wako vizuri.
Kamuulize mama yakoUWT mmechangia shs ngapi?
Members wa JF ndo haohao wa X.Aise keshatoka.
Kapewa hadi hela za kianzio cha maisha.
Jf tujipange kule x wako vizuri.
Sawa dada anguKamuulize mama yako
Chadema itakusaidia kwenye jambo linalohusu shughuri za chama, huo ndio utawala bora utawala wa sheria, CCM inatetea wavuta bangi na wacheza karatatatu.Eng. Japhet Matarra ni kada kindakindaki wa CHADEMA ambaye kwa sasa yuko gerezani Karanga Moshi kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhukumiwa kwa kufanya makosa ya mtandaoni. Ilikuwa aende jela au alipe faini ya Tsh 7m ila kwa bahati mbaya huyu kijana hakuwa na hizo pesa ikambidi aende jela. Ninapoandika uzi huu ndo wanaharakati wa kisiasa huko X wanachangishana Tsh 7m ili kulipa faini na kumtoa kijana jela.
Kupitia post ya Twaha Mwaipaya, kijana Matara amedai kwa mwaka mzima aliokuwa gerezani hakuna mtu aliyewahi kumtembelea wakiwemo wanaCHADEMA wenzake. Nimeshangaa pia hata mkewe hakwenda baada ya kusoma bio yake inayoonyesha kuwa Matara alishaoa kabla ya kwenda jela.
Suala la CHADEMA kumpuuzia mwanachama wake aliyehitaji Tsh 7m tu linafikirisha sana. Kama wanaweza kuhamasishana kuchanga ili kununua gari la kifahari la Lissu inakuwaje wanashindwa kumkumbuka kijana wao anayesota gerezani hadi wanaharakati wa X wajitokeze?
CHADEMA ijitathmini. Pia liwe fundisho kwa vijana wengine wanaofikiri CHADEMA itawasaidia wakati wa shida.
View attachment 3030483
View attachment 3030484
Acha upotoshaji wewe Netanyahu wa Malinyi. CHADEMA walimtelekeza. Wanaomtoa ni marafiki zake wa mtandaoni ila CHADEMA wanachofanya ni kudandia agenda isiyowahusu.
Siasa mchezo mchafu lo
Kusaidiana kitu muhimuAise keshatoka.
Kapewa hadi hela za kianzio cha maisha.
Jf tujipange kule x wako vizuri.
Twaha Mwaipaya ni chama gani?siyo kweli chadema wala hawana habari naye
Twaha Mwaipaya ni chama gani?Acha upotoshaji wewe Netanyahu wa Malinyi. CHADEMA walimtelekeza. Wanaomtoa ni marafiki zake wa mtandaoni ila CHADEMA wanachofanya ni kudandia agenda isiyowahusu.
Twaha Mwaipaya ni chama ganiAcha upotoshaji wewe Netanyahu wa Malinyi. CHADEMA walimtelekeza. Wanaomtoa ni marafiki zake wa mtandaoni ila CHADEMA wanachofanya ni kudandia agenda isiyowahusu.
Duh, nimeumia sana. The guy i used to interact nae nikiwa twitter kabla sijafunga account yangu. Mungu amsaidie sana na vijana tuachane na siasa bhn, zitatumaliza.Eng. Japhet Matarra ni kada kindakindaki wa CHADEMA ambaye kwa sasa yuko gerezani Karanga Moshi kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhukumiwa kwa kufanya makosa ya mtandaoni. Ilikuwa aende jela au alipe faini ya Tsh 7m ila kwa bahati mbaya huyu kijana hakuwa na hizo pesa ikambidi aende jela. Ninapoandika uzi huu ndo wanaharakati wa kisiasa huko X wanachangishana Tsh 7m ili kulipa faini na kumtoa kijana jela.