Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.