Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Jul 22, 2023 #1 Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
Pac the Don JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,170 Reaction score 7,710 Jul 22, 2023 #2 Kamanda Asiyechoka said: View attachment 2695980 Click to expand... Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono mwanaccm mwenzangu ✔️
Kamanda Asiyechoka said: View attachment 2695980 Click to expand... Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono mwanaccm mwenzangu ✔️
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Jul 22, 2023 #3 Mwarabu ana nn lkn huyu?