Tetesi: Habari ya kuanzishwa Tanzania Commercial Bank ina ukweli? Na iwapo ni ya kweli, nini zitakuwa faida na hasara zake kwa benki za biashara nchini?

Tetesi: Habari ya kuanzishwa Tanzania Commercial Bank ina ukweli? Na iwapo ni ya kweli, nini zitakuwa faida na hasara zake kwa benki za biashara nchini?

Kwa hiyo watauza hisa zao kwenye mabenki ya kibiashara ili waanzishe hiyo TCB, waache kuturudisha kule kule kwenye business as usual kulikofanya mashirika ya umma aliyoanzisha Nyerere kutojiendesha kwa faida na kutegemea ruzuku serikalini.....yaani kulijaa mchwa humo!
 
Magufuli anatamani kufanya kila kitu wakati akiua kilakitu
Mtoa taarifa wa hii habari kupitia twitter, kadai kuwa Wakuu wa taasisi na mashirika ya umma wote wameitwa Dom kuhusiana na uanzishwaji wa hii benki.Kama ni kweli,ni wazi mishahara ya watumishi itatakiwa kupitishwa kupitia hii benki na ndio maana wameitwa.
 
Kajamaa kanatoaga habari kwa kigogo kanaleta huku!
Kama unamwamini sana Kigogo mwambie awe anakupa taarifa za kabla ya mvurugano chadema ili muwe mnauzima mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajamaa kanatoaga habari kwa kigogo kanaleta huku!
Kama unamwamini sana Kigogo mwambie awe anakupa taarifa za kabla ya mvurugano chadema ili muwe mnauzima mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wana matatizo sana, lakini yawezakuwa chanzo siyo wao. Kamwe mimi silaumu jinsi ulivyo kwani naamini siyo kosa lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ktk biashara ambayo inaweza kuendeshwa na serikali za kiafrika na ikapata faida bila kutumia nguvu ni biashara ya fedha so kwa hili nawaunga mkono waliharakishe mchakato wake!
 
Nnachofaham, NMB, NBC, CRDB, TPB, TIB zina chembe chembe za userikali. Tujiulize kuna unafuu wowote huko kwa watumiaji?

Endapo itaanzishwa wajipange kuwa na huduma bora wakitumia zaidi teknolojia, hakuna haja ya kuwa na matawi mengi, mambo yote mtandaoni na kiganjani kwa simu. Riba rafiki kwenye mikopo na vigezo vinavyoendana na mazingira yetu wananchi tulio wengi.

Ni hayo tu kwa sasa.

Hizo zote ulizozitaja wafanyakazi wana nyodo kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi taarifa za muda labda mchakato ndio umekamilika sasa, sana nina imani wao walisha jiridhisha kua kuna manufaa kiuchumi ni suala endelevu bank nyingi tu wataziunganisha. Mwanzoni wakati magua anaingia ndio ilikua moja ya agenda zake, nchi hiwe na bank chache zenye nguvu kuliko kuwa na msululu wa mabank kibao amabyo hayana tija, na sio jambo la ajabu kuna nchi kibao zina benki chache imara, cha msingi ni kuongeza wateja kwa kuwafikia wananchi wengi zaidi na huduma boraView attachment 1456638View attachment 1456639View attachment 1456641

Sent using Jamii Forums mobile app
They want government owned bank. Hawataki wawekezaji tena?!
 
Unaposema "kuanzishwa kwa benki ya aina hiyo" unamaanisha nini. Tanzania tayari kuna commercial banks nyingi tu. Zisizo commercial banks ni chache sana. Hilo Tanzania Commercial Bank ndilo jina la hiyo benki au ni aina ya hiyo benki mpya? Nafikiri utafute taarifa zaidi uwe "more informed" juu ya hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wewe ni mgeni hapa, humfahamu vizuri Salary Slip kwa jinsi ambavyo siku hizi amekuwa akiandika kwa mitego na tahadhari kubwa!!!
 
Nnachofaham, NMB, NBC, CRDB, TPB, TIB zina chembe chembe za userikali. Tujiulize kuna unafuu wowote huko kwa watumiaji?

Endapo itaanzishwa wajipange kuwa na huduma bora wakitumia zaidi teknolojia, hakuna haja ya kuwa na matawi mengi, mambo yote mtandaoni na kiganjani kwa simu. Riba rafiki kwenye mikopo na vigezo vinavyoendana na mazingira yetu wananchi tulio wengi.

Ni hayo tu kwa sasa.
TPB na TIB ndo mali ya umma kwa asilimia zote, hizo nyingine zishabinafsishwa ila serikali ina hisa kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
They want government owned bank. Hawataki wawekezaji tena?!
Hapana si kwamba hawataki wawekezaji, hawataki utiriri wa kuwa na financial institution nyingi ambazo hazina tija kiuchumi, goverment wata merge bank zao na private watafanya kivyap kwa namna wanayoona hila mwisho wa siku lazima bank ziwe chache zenye tija.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana si kwamba hawataki wawekezaji, hawataki utiriri wa kuwa na financial institution nyingi ambazo hazina tija kiuchumi, goverment wata merge bank zao na private watafanya kivyap kwa namna wanayoona hila mwisho wa siku lazima bank ziwe chache zenye tija.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tija kwenye bank ni ipi?! Na tija hiyo ni kwa wananchi au kwa serikali?!
 
Back
Top Bottom